Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 2,468
- 2,905
Katoliki ndio limepiga marufuku.Waende KKKT wakafanyie huko, waende kwa Tapeli Mwamposa,kwa Katunzi ukonga, KUHANI MUSSA na kwa Geodevie Katoliki hatutaki huo upuuzi!! 🤔🤔Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.