Shid
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Shida ya watz ni mindset zao.wanasema dini inaingilia siasa sasa wakati dini hazitaki siasa wanasema wanakosea .stupidWewe unachanganya mambo! Unatetea kitu gani hasa??Watu wanautaratibu wao, kanisa mbona limekua na mchango mkubwa ba lina mahusiano mazuri na serikali, hujui kuna mashirika ya kikanisa na kipapa yanatia huduma nyingi kwa jamii, hujui mashule, vyuo, mahospitali, zahanati n.k.Hayo yite huoni unaona ushirikiano wa kanisa na serikali ni pale viongozi wake wanapoenda kuongea madhabahunu.Umechanganyikiwa??