kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #161
Walichelewa sana kufanya maamuzi hayo, matokeo mazoea! Hata mikutano ya chama/serikali salamu iwe moja tu.....Jamhuri ya Muugano wa Tanzania...Kazi iendelee... Haya mambo ya Tumsifu Yesu Kristo; Bwana Yesu Asifiwe; Mwanakondoo Ameshinda; Asalaam Alaykhum... tuyaache makanisani au misikitini.
Hakuna taasisi yoyote ile humu nchini ambayo ni serikali proof au serikali resistant, Itategemea na unyeti wa jambo lenyewe.