Si hamtaki siasa kanisani?Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Vizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yaoKanisani ni mahali pa ibada, watu wamekuja kusali, hivyo blah blah za wanasiasa hazina nafasi. Kanisa katoliki lilichelewa sana kuja na hilo tamko.
Wasalimiane baada ya Ibada, kanisa linalindwa na Mungu, hao kama wanalinda mbona watu wanapotea Kila sikuKanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Poa tuVizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yao
We unafikiri kanisa Katoriki linategemea harambee zenu ili lifanye shughuli zake?Vizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yao
Hayo yote uliyoongelea Yana apply kwa Biashara yangu binafsi pia, lazima mwanasiasa aje kuongea ?Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Huwezi kutishwa na kinyago ulichokichonga mwenyewe. Kama naweza kukusajiri naweza kukufuta pia. Serikali haina mpaka wa kuingia na kusema popote ambapo Kuna raia wake. Kama kanisani Kuna wabakaji na wakwepa kodi itawafuata huko huko wanakopatikana. Nyerere aliwahi kutaifisha mali za makanisa walimfanya nini?Si hamtaki siasa kanisani?
Jamani!Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Labda makanisa ya huko uchochorini na sio Roman CatholicKama naweza kukusajiri naweza kukufuta pia
Serikali inaweza kufuta makanisa uchwara yote ila haiwezi kufuta RC, ndo maana hata wewe umeanzisha uzi unalialia hamna cha kuwafanya RC.Huwezi kutishwa na kinyago ulichokichonga mwenyewe. Kama naweza kukusajiri naweza kukufuta pia. Serikali haina mpaka wa kuingia na kusema popote ambapo Kuna raia wake. Kama kanisani Kuna wabakaji na wakwepa kodi itawafuata huko huko wanakopatikana. Nyerere aliwahi kutaifisha mali za makanisa walimfanya nini?
Hii maana yake nini?Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Muone Kafiri huyu πππWanatapatapa kama wamepigwa rungu ya kichwa sahivi kila jumapili taarabu kibao
Nchi ina takribani wakatoliki milioni 25, tutalipa hizo Kodi kama tunavyojenga makanisa yetu na baada ya hapo CCM itabidi kuimport wasafwa kutoka Malawi kufidia gape kwenye masanduku ya kuraSerikali ihakikishe inafuta misamaha yote ya Kodi kwa kanisa hilo na kulipa Kodi halisi ya ardhi zote walizozikalia.
Huo uliosema ni upuuzi sawa na upuuzi mwingine tu. Kwani Israel inalindwa na Mungu au inalindwa na Marekani? Kwenye vita watu wanaabudu makanisani au wanakusanywa kwenye makambi ya wakimbizi?Wasalimiane baada ya Ibada, kanisa linalindwa na Mungu, hao kama wanalinda mbona watu wanapotea Kila siku