Kanisa wanaposali Waumini wa Gwajima Lavunjwa

Wanajimaliza wenyewe ccm, nakumbuka Maneno ya Mungu kwa Musa kumhusu Farao
 
Uzuri ni kuwa mwaka 2070 wite watakuwa wamelala makaburini
 
Kwa halii tunayo enda nayo na huyu BIBI naona kupimwa kwake ni muhimu, nyie fanyeni masihara tu mnamuacha ugo... Mjue ndo unazidi au mpaka atie aibu jukwaani.
 
Naona kuna mtu anajitia kidole yeye mwenyewe
 
Angekuwa gwajima ndio sheikh sipati picha raisi angeenda kuvunja msikiti anaoswalisha huyo sheikh.
Ni kama mstari fulani unapokwenda sio pazuri.
Kuna wengine ukituchapa kofi hatugeuzi shavu la pili.
 
Ninawashangaa sana viongozi wa kanisa lolote wanaowaalika viongozi wa serikali hii kama wageni rasmi katika shughuli za kanisa, mnatia mashaka sana na mnatia aibu!​
Anzisha kanisa lako ndio uweke Masharti unayoyataka wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…