Kanisa wanaposali Waumini wa Gwajima Lavunjwa

Ninawashangaa sana viongozi wa kanisa lolote wanaowaalika viongozi wa serikali hii kama wageni rasmi katika shughuli za kanisa, mnatia mashaka sana na mnatia aibu!​
You can’t shame the shameless.

Kama kuna kitu nitakuwa wa mwisho kukielewa basi ni hili sekeseke la serikali na kanisa la Gwajima.
 
You can’t shame the shameless.

Kama kuna kitu nitakuwa wa mwisho kukielewa basi ni hili sekeseke la serikali na kanisa la Gwajima.
Mimi ningewaelewa kidogo kama wangefanya mambo yao kwa uwazi na kwakufuata hizo sheria wanazodai wanazitekeleza.

Wametoa tangazo la kufunga kanisa, wahanga wameenda mahakamani, mahakamani serikali imesema haijalifunga kanisa na haitambui barua inayodaiwa ni ya kufungua kanisa( hii ni kwa mujibu wa Mwanasheria Kibatala)

Wakati huo huo, kanisa ambalo serikali imedai haijalifunga, kila siku limezingirwa na police wakidai wanatekeleza maagizo ya serikali, na waumini wanazuiwa kufanya ibada.

Sasa huu kama sio uhuni ni kitu gani? Utawezaje kuwaelewa watu wa aina hii, tena wamekalia ofisi za umma?
​
 
Hiki ni kituko cha karne kaka.
 
Lucas mshamba, mpagani asiye na dini na mtetezi wa mama, amebubujikwa na machozi ya furaha kwa serikali ya mama kulivunjiiia mbali Kanisa maana linawapigia watu kelele.

Lucas Hebeli Mshamba.
October tunatiki.
 
Huyu Lucas mwashambwa sio jina lake halisi. Na wala sio mtu wa mbeya
Jina lake halisi ni Abubakar Karim na ni mzawa wa Unguja chakechake.

You know the rest.
Ndiyo maana kumbe kila siku anawatukana Watanganyika. !!!!!
 
Hongereni sana kwa kuvunja na kubomoa sehemu ya watu kuabudu
 
Angekuwa gwajima ndio sheikh sipati picha raisi angeenda kuvunja msikiti anaoswalisha huyo sheikh.
Ni kama mstari fulani unapokwenda sio pazuri.
Kwanini kila kitu tunasema Rais ndiye amefanya hiki na kile... hivi kweli unataka kusema ilo ni kanisa au watu wameamua tu kuleta ubishi. Limejengwa lini na limesajiliwa lini?
 
Kwahiyo umefurahi SI Ndio?
Kitu kimoja Nina uhakika majibu hayako mbali
 
Kila wanapohamia pavunjwe maana ni genge la wahuni
 
Kwanini havunji misikiti?
 
Are you serious?
Tuanzie hapo?

Leo mwamposa alikemea mtaenda kuvunja ,mtarudi hapa kusema same thing!
Ni suala la muda tu

The bottom line is: Never Fight With Your Government.
Kuna mengi magumashi kina manabii wanayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…