Kanisani kwetu bwana Mauno kwenye Madhabahu yamezidi, hili tatizo lazima litatuliwe. Wadau tufanyaje?

Kanisani kwetu bwana Mauno kwenye Madhabahu yamezidi, hili tatizo lazima litatuliwe. Wadau tufanyaje?

Kuna makanisa mengine ili muweze kuwepo rohoni lazima mpige K Vant na Konyagi za kutosha
Kitu hicho baada ya ibada
JPEG_20200607_145730_8999682470174120240.jpg
 
Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza

Kwenda nakutana na mambo yako hivi๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
Dada anapambana kweli kweli doh ๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿƒ๐Ÿƒ

Kwa- Yesu kunanoga Balaaaa, Mauno kama Yote
View attachment 1471043
Aaaaaaah ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ
 
Back
Top Bottom