Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
Vepe?!Aaaaaaah 🚶♂️🚶♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vepe?!Aaaaaaah 🚶♂️🚶♂️
Watu wanatafuta mabwana kwa Bwana!Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza
Kwenda nakutana na mambo yako hivi[emoji126][emoji126]
Dada anapambana kweli kweli doh [emoji134][emoji134][emoji125][emoji125]
Kwa- Yesu kunanoga Balaaaa, Mauno kama Yote
View attachment 1471043
Napita tu... hiyo sio sawa hata kidogo kuna waumini walidinda kwa hayo mauno 🙈🙈Vepe?!
Hapana wanamtafuta Bwana WA Mabwana🙏Watu wanatafuta mabwana kwa Bwana!
Kwa Yesu hakuna kudinda🏃🏃🏃🏃Napita tu... hiyo sio sawa hata kidogo kuna waumini walidinda kwa hayo mauno 🙈🙈
Hapana umepata MKE mwema🏃🏃🏃🏃🏃Chakula cha wachungaji hicho na senior choir singers....
Ukiwa na demu anaimba kwaya au mtu wa mikesha basi umeingia chaka...
😁Sema hilo uno ni kweree asee 😋.ngoja amng'ang'anie bwana tuu...😋😂 Namuona mama mchungaji anavyomkatia jicho baba mchungaji...asije akala kondoo wake 😂😂😂😂😋🙌🏽🚶🚶Ana ng'ang"ana😂😂😂😂
🙄aaaahweeee!nan kasema!?kondoo wenyewe ndo wana miuno ya bolingo namna hii halaf mnara usisome 4G!?😂😂😂wacha masikhara kabisa bibie...Kwa Yesu hakuna kudinda🏃🏃🏃🏃
Mengine anasingiziwa tu.Hapana wanamtafuta Bwana WA Mabwana[emoji120]
Kudinda ni sehemu yoyote ile 😂😂😂Kwa Yesu hakuna kudinda🏃🏃🏃🏃
Watamu haoooo kwa kulumangia na pili pili kichaaaHuyo mwenye kibwebwe kiunoni anaoneka fundi.wanaitwa flat screen au reli ya kati.
Ale mara ngap?! 😂😂😂😂😂 We Acha tu Mbinguni wataingia wanawake watu wazima tu😁Sema hilo uno ni kweree asee 😋.ngoja amng'ang'anie bwana tuu...😋😂 Namuona mama mchungaji anavyomkatia jicho baba mchungaji...asije akala kondoo wake 😂😂😂😂😋🙌🏽🚶🚶
Kwa Yesu hatudindi tuna upako tu🙄aaaahweeee!nan kasema!?kondoo wenyewe ndo wana miuno ya bolingo namna hii halaf mnara usisome 4G!?😂😂😂wacha masikhara kabisa bibie...
Reli ya Kanisa🏃🏃🏃🏃🏃Huyo mwenye kibwebwe kiunoni anaoneka fundi.wanaitwa flat screen au reli ya kati.
Huyo Ice Cube ameoa?! Ameoa huko kanisani sasa?! 😂😂😂Mengine anasingiziwa tu.
Ice Cube alisema sehemu nzuri sana ya kupata wanawake ni kanisani.
Wanaume wanajua hili.
Wanawake wanajua hili.
Ndiyo maana wanajibinua binua kutangaza walichonacho dunia iwaone.
Wakijificha wanaona watakosa mambo.
Kwa Yesu hatudindigi NI dhambiKudinda ni sehemu yoyote ile 😂😂😂
Acha uhuni uende Mbinguni😇Watamu haoooo kwa kulumangia na pili pili kichaaa