Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #41
Vepe?!Aaaaaaah πΆββοΈπΆββοΈ
Watu wanatafuta mabwana kwa Bwana!Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza
Kwenda nakutana na mambo yako hivi[emoji126][emoji126]
Dada anapambana kweli kweli doh [emoji134][emoji134][emoji125][emoji125]
Kwa- Yesu kunanoga Balaaaa, Mauno kama Yote
View attachment 1471043
Napita tu... hiyo sio sawa hata kidogo kuna waumini walidinda kwa hayo mauno ππVepe?!
Hapana wanamtafuta Bwana WA MabwanaπWatu wanatafuta mabwana kwa Bwana!
Kwa Yesu hakuna kudindaππππNapita tu... hiyo sio sawa hata kidogo kuna waumini walidinda kwa hayo mauno ππ
Hapana umepata MKE mwemaπππππChakula cha wachungaji hicho na senior choir singers....
Ukiwa na demu anaimba kwaya au mtu wa mikesha basi umeingia chaka...
πSema hilo uno ni kweree asee π.ngoja amng'ang'anie bwana tuu...ππ Namuona mama mchungaji anavyomkatia jicho baba mchungaji...asije akala kondoo wake πππππππ½πΆπΆAna ng'ang"anaππππ
πaaaahweeee!nan kasema!?kondoo wenyewe ndo wana miuno ya bolingo namna hii halaf mnara usisome 4G!?πππwacha masikhara kabisa bibie...Kwa Yesu hakuna kudindaππππ
Mengine anasingiziwa tu.Hapana wanamtafuta Bwana WA Mabwana[emoji120]
Kudinda ni sehemu yoyote ile πππKwa Yesu hakuna kudindaππππ
Watamu haoooo kwa kulumangia na pili pili kichaaaHuyo mwenye kibwebwe kiunoni anaoneka fundi.wanaitwa flat screen au reli ya kati.
Ale mara ngap?! πππππ We Acha tu Mbinguni wataingia wanawake watu wazima tuπSema hilo uno ni kweree asee π.ngoja amng'ang'anie bwana tuu...ππ Namuona mama mchungaji anavyomkatia jicho baba mchungaji...asije akala kondoo wake πππππππ½πΆπΆ
Kwa Yesu hatudindi tuna upako tuπaaaahweeee!nan kasema!?kondoo wenyewe ndo wana miuno ya bolingo namna hii halaf mnara usisome 4G!?πππwacha masikhara kabisa bibie...
Reli ya KanisaπππππHuyo mwenye kibwebwe kiunoni anaoneka fundi.wanaitwa flat screen au reli ya kati.
Huyo Ice Cube ameoa?! Ameoa huko kanisani sasa?! πππMengine anasingiziwa tu.
Ice Cube alisema sehemu nzuri sana ya kupata wanawake ni kanisani.
Wanaume wanajua hili.
Wanawake wanajua hili.
Ndiyo maana wanajibinua binua kutangaza walichonacho dunia iwaone.
Wakijificha wanaona watakosa mambo.
Kwa Yesu hatudindigi NI dhambiKudinda ni sehemu yoyote ile πππ
Acha uhuni uende MbinguniπWatamu haoooo kwa kulumangia na pili pili kichaaa