Kanizawadia nusu lita ya asali na elfu 50 siku ya birthday yangu. Nimempiga chini kwa kasi ya 5G

[emoji23][emoji23] nenda muulizi kwa nini kukulete zawad ya hivyo
 
Wapo wenye sura na shepu za kawaida ambao mm nawazidi mara 100 lkn wanapewa mizawadi mikubwa. Huyu mchovu tu
Kuna vitu watakua wamekuzid tu ambavyo havionekani
 
Ungemuuliza kwanza pengine alikupatia dawa, labda kuna tatizo anajua unalo😁
 
Unaaonekana ni mkaidi sana,na mtu mwenye tabia za kimasiki sana,maana wenye navyo huwa hawana tamaa kama wewe,jamaa ametoa zawadi unique we kwa njaa zako unambeza?
 
walaumu wazazi wako kwanini hawakukununulia gari hadi ulitake kutoka kwa jamaa wa ukubwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…