mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Umeumbwa kula kwa nini sasa?Mm mwanamke sijaumbwa kula kwa jasho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeumbwa kula kwa nini sasa?Mm mwanamke sijaumbwa kula kwa jasho
Muandiko wa kiumeNina mshepu Kajala anasubiri
Sisi ni wa kula kwa kutafutiwa na kuzaa kwa uchungu tuUmeumbwa kula kwa nini sasa?
Kwann?Duh!!shetani anakasi kubwa sana.
Huyu Ni shogo mnk aeleweki Ni eneo gani na nyuz zake zinamfungaWewe jinsia yako ni ipi?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kmmk... Mshana leo nimecheka sanaWahuni wanamngoja [emoji23]View attachment 2480678
Kuna vitu watakua wamekuzid tu ambavyo havionekaniWapo wenye sura na shepu za kawaida ambao mm nawazidi mara 100 lkn wanapewa mizawadi mikubwa. Huyu mchovu tu
Mtoa zawadi ndiye kazidiwa hela. Siyo mmKuna vitu watakua wamekuzid tu ambavyo havionekani
Tabia ipi mpendwa?Mpendwa, nina imani huna tabia hii
Unaaonekana ni mkaidi sana,na mtu mwenye tabia za kimasiki sana,maana wenye navyo huwa hawana tamaa kama wewe,jamaa ametoa zawadi unique we kwa njaa zako unambeza?Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G).
Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50?
Kuwa na mahusiano na akina "michongo yangu haijatiki" au akina "mshahara haujatoka" ni uchuro, laana na mkosi mkubwa.
Ya kutokuridhika na kutojiheshimu, Kama huyu mtoa madaTabia ipi mpendwa?
Hiyo sina ila mtoa mada nadhani anatania si kweliYa kutokuridhika na kutojiheshimu, Kama huyu mtoa mada
Usililie uzuri, lilia bahatiWapo wenye sura na shepu za kawaida ambao mm nawazidi mara 100 lkn wanapewa mizawadi mikubwa. Huyu mchovu tu
Sawa, jioni njema mpendwa👍Hiyo sina ila mtoa mada nadhani anatania si kweli