Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

Usije ukamuoa mwanamke kwasababu unamuhurumia....
Usije ukamuoa mwanamke kwasababu watu wamekushauri....
Usije ukaoa mwanamke kwasababu ana wezere.....
Mbona wewoo....😜
vp kama ana tabia nazozitaka?
 
Mkuu,
Tukisema tujipate ndio tuoe tutaishia kiwa wazee bila ndoa. Muhimu kila mtu ajue nini anafuata huko kwa ndoa, malengo yawekwe pamoja na watu wapambane pamoja.
nimekuelewa sana
 
Back
Top Bottom