Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukran kwa ushauri. japo leo sio mara yake ya kwanza kuzungumzia ndoa. hata mwaka 2021 ashawahi zungumzia nkamwambia siko tayarimbona ishu ya sura umeikazia sana? Kwamba wote ni wa kawaida,,, ! Dah.,,, !
ni kama unamuonea huruma ama hujiamini kama unaweza pata mwingine akakupenda! Sikia man, unaonekana bado ni mtu una-hustle mambo bado hayajajipa ! Muambie kwa sasa hujajipanga kuoa, mambo yako hayajakaa sawa, akilusubiri it's OK, akikataa wacha aende !! Umesema upo na 29, atleast una miaka 3 ya kukomaa ndo uoe walau na 32,,,! Huyo huenda kapata bwana, sasa anakupima! Usioe kumfurahisha mtu ukateseke bure, dunia imevaa bukta haina huruma !
the difference in age (one year) is not statistically significant (p > 0.05), ruksa ku-endelea na mchakato wa kuoaHabari zenu,
Niko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kwa sasa ana miaka 30 kanzidi mwaka mmoja. mahusiano yana zaid ya miaka 6. (haya mahusiano hayakua straight mana kuna muda nlikua nahama mkoa hata miaka mi2, tena narudi tunaendeleza mahusiano). Kimuonekano mm sio handsome. Nina sura ya kawaida tu.
mwanamke huyu ana sifa zifuatazo
Yeye ni multiskilled, ni mpish mzuri sana yan akipika utajiramba, afu ni msusi afu ana ujuzi wa kushona kiufupi yy ni asset sio liability.
Miaka yote hyo hajawahi kuniomba pesa.(kuna watu mtasema eti kuna mwanaume ananisaidia majukumu). NO, huyu mwanamke n mpambanaji anafanya vibarua na sasa anafanya kibarua anacholipwa laki na nusu lakn hajawahi niomba hata 500 ya vocha.
Ni mwanamke mtiifu&anaenijali sana, nkiwa sina hela ya kula naenda kwake nakula nalala na asbuhi ananiogesha na nikiondoka siachi hata 100 na hajawahi nidai
Ni mwanamke mpambanaji na mwenye focus ya maisha yaan analipwa lak na nusu lakn kajibana mpaka kanunua vitu vyote vya ndani mfano kabati la nguo, la vyombo, kitanda, na vngine kwa pesa zake. sometimes hua ananipigia kakosa hela ya mboga anakula ugali na asali🥺
Kazn kwao wanatoka saa11 jion, akitoka kazn anaingia barabaran kwny zile folen anauza mataulo, chaja n. k kwa wale madriver.
LAKINI SASA:
Sikua na mpango wa kuoa kwa sasa lakn leo kanipigia smu anaongea huku akitoa sauti ya uchungu huku analia, anambia yeye anaona umri wake unaenda kwa hyo kama sina mpango wa KUMUOA n bora tuachane tu (naogopa nikimkosa je ntapata wapi mwngne kama yeye?)
Sura yake sio nzuri sana (simaanishi ni mbaya NO) ana sura ya kawaida tu yaan haivutii wala haikeri. mm pia sura yangu sio handsome nawaza watoto wetu si watakua na sura ambazo sio nzuri
Mimi bado nabangaiza na shughuli za ujasiriamali wa bidhaa ndogo ndogo, nikiingia kwny ndoa saiz hayo majukumu ya ndoa ntayaweza kwl?
Kanizid mwaka mmoja.
Nawaza sku nikikutana na mwanamke mwenye sura na muonekano naoutaka afu akanikubali je si ndo chanzo cha kuona nlikosea kuoa?
NB:sijamzalisha wala kumpa mimba.
Najua humu kuna watu wenye ujuzi na uzoefu wa haya mambo naombeni mnishauri jaman nimuoe au niachane nae??
Yaani una miaka 29 na mwakani 30 na majukumu huyawezi duuuHabari zenu,

mbona ishu ya sura umeikazia sana? Kwamba wote ni wa kawaida,,, ! Dah.,,, !
Kutokana na maelezo yako inaonekana huyo dada ana akili na anajitambua ila wewe bado hujajitambua.nionewe huruma kwa lipi?
afadhali umenielewesha broKutokana na maelezo yako inaonekana huyo dada ana akili na anajitambua ila wewe bado hujajitambua.
Wanaume kipindi Cha ujana tunakutana na wanawake wengi wenye akili na kujitambua ila kutokana na akili zetu za ujana tunawapoteza kirahisi sana.
Siku ambayo utakuja kuhitaji mke, mama wa watoto wako, na mlez wa familia ndo utagundua kuwa huyo dada alikuwa asset.
Ndio labda uwe wa kishua unapewa kila kitukwan kuna umri rasmi wa kuweza kumudu majukumu?