Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

shukran kwa ushauri. japo leo sio mara yake ya kwanza kuzungumzia ndoa. hata mwaka 2021 ashawahi zungumzia nkamwambia siko tayari
 
the difference in age (one year) is not statistically significant (p > 0.05), ruksa ku-endelea na mchakato wa kuoa
 
Yaani una miaka 29 na mwakani 30 na majukumu huyawezi duuu
 
nionewe huruma kwa lipi?
Kutokana na maelezo yako inaonekana huyo dada ana akili na anajitambua ila wewe bado hujajitambua.
Wanaume kipindi Cha ujana tunakutana na wanawake wengi wenye akili na kujitambua ila kutokana na akili zetu za ujana tunawapoteza kirahisi sana.

Siku ambayo utakuja kuhitaji mke, mama wa watoto wako, na mlez wa familia ndo utagundua kuwa huyo dada alikuwa asset.
 
afadhali umenielewesha bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…