sawa kaka ila dahhhAcha ufalaaa wewe mwanamke anaolewa kwa ajiri ya uzuri, tako titi sura. Mambo ya mwanamke mpambanaji hi ho sio kigezo.
Sasa mwanamme aura sio nzuri wa nini uoe?
Demu kashifika 30....huyo kwisha habari yake hafai kuolewa. Mwambie akasake wakumuoa ila sio wewe.
2025 wanaume tunaoa wanawake below 25 yrs
huyu hakosi ibada na ni nkienda kwake nakuta kitandan vimesambaa vitabu vya dini alokua anavisoma. hanaga muda na smu, anaweza asiingie online hata week nzmaOa for love
Kama unampenda oa. Wengi wanadanganya miaka wanarudisha nyuma huyo ni wife material
Kuna wanawake wa kuoa
Na Kuna wale wanaopenda starehe tu
Huyo wako ni wife material angalia viongozi wore wa zamani wake zao no wakawaida ti
Mkapa, nyerere, na wazee wote wa ccm oa my ambaye atakufanya ujione mfalme soon was kukupa stress hujagusia hofu ya mungu, anatakiwa awe muumini mzuri pia.
Wanaume wengi linapokuja swala la kuoa huwa tunakivuta sana
Wewe jamaa Comedy tu, huna lolote 😄🤣Habari zenu,
Niko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kwa sasa ana miaka 30 kanzidi mwaka mmoja. mahusiano yana zaid ya miaka 6. (haya mahusiano hayakua straight mana kuna muda nlikua nahama mkoa hata miaka mi2, tena narudi tunaendeleza mahusiano). Kimuonekano mm sio handsome. Nina sura ya kawaida tu.
mwanamke huyu ana sifa zifuatazo
Yeye ni multiskilled, ni mpish mzuri sana yan akipika utajiramba, afu ni msusi afu ana ujuzi wa kushona kiufupi yy ni asset sio liability.
Miaka yote hyo hajawahi kuniomba pesa.(kuna watu mtasema eti kuna mwanaume ananisaidia majukumu). NO, huyu mwanamke n mpambanaji anafanya vibarua na sasa anafanya kibarua anacholipwa laki na nusu lakn hajawahi niomba hata 500 ya vocha.
Ni mwanamke mtiifu&anaenijali sana, nkiwa sina hela ya kula naenda kwake nakula nalala na asbuhi ananiogesha na nikiondoka siachi hata 100 na hajawahi nidai
Ni mwanamke mpambanaji na mwenye focus ya maisha yaan analipwa lak na nusu lakn kajibana mpaka kanunua vitu vyote vya ndani mfano kabati la nguo, la vyombo, kitanda, na vngine kwa pesa zake. sometimes hua ananipigia kakosa hela ya mboga anakula ugali na asali🥺
Kazn kwao wanatoka saa11 jion, akitoka kazn anaingia barabaran kwny zile folen anauza mataulo, chaja n. k kwa wale madriver.
LAKINI SASA:
Sikua na mpango wa kuoa kwa sasa lakn leo kanipigia smu anaongea huku akitoa sauti ya uchungu huku analia, anambia yeye anaona umri wake unaenda kwa hyo kama sina mpango wa KUMUOA n bora tuachane tu (naogopa nikimkosa je ntapata wapi mwngne kama yeye?)
Sura yake sio nzuri sana (simaanishi ni mbaya NO) ana sura ya kawaida tu yaan haivutii wala haikeri. mm pia sura yangu sio handsome nawaza watoto wetu si watakua na sura ambazo sio nzuri
Mimi bado nabangaiza na shughuli za ujasiriamali wa bidhaa ndogo ndogo, nikiingia kwny ndoa saiz hayo majukumu ya ndoa ntayaweza kwl?
Kanizid mwaka mmoja.
Nawaza sku nikikutana na mwanamke mwenye sura na muonekano naoutaka afu akanikubali je si ndo chanzo cha kuona nlikosea kuoa?
NB:sijamzalisha wala kumpa mimba.
Najua humu kuna watu wenye ujuzi na uzoefu wa haya mambo naombeni mnishauri jaman nimuoe au niachane nae??
Kama unaona mwanamke ambaye hakuombi hata mia yupo kwenye shida kiasi anakula ugari wewe buku ya dagaa inakushindwa basi hustahili kuingia kwenye ndoa tena una roho mbaya na binafsi mno 😡😡😡whats wrong with that?? mm sio nliemsababishia hayo yote
Huyo bibie inatakiwa umuache haraka sana umeandika vitu vingi kwenye mada yako vya kipumbavu mara umri mara muonekano 🤮🤮hapana mm siko hvo
Wee unaoa lini? [emoji23][emoji23][emoji23]Haichuki nafasi ya daktari ila inakupa matokoe bora kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani mzabzab na wewe upo kwenye kundi la waoaji?Acha ufalaaa wewe mwanamke anaolewa kwa ajiri ya uzuri, tako titi sura. Mambo ya mwanamke mpambanaji hi ho sio kigezo.
Sasa mwanamme aura sio nzuri wa nini uoe?
Demu kashifika 30....huyo kwisha habari yake hafai kuolewa. Mwambie akasake wakumuoa ila sio wewe.
2025 wanaume tunaoa wanawake below 25 yrs
Wee mara ngapi nakuomba ur hand in marriage unanipiga chini kisa kibamia changuKwani mzabzab na wewe upo kwenye kundi la waoaji?
Mimi niko 30+ kundi ambalo hamlitaki.Wee mara ngapi nakuomba ur hand in marriage unanipiga chini kisa kibamia changu
Kumbe kazee🤣🤣🤣🤣 shikamoo dada kelseaMimi niko 30+ kundi ambalo hamlitaki.
Haya yote uliyoyaandika,sisi hayatuhusuHabari zenu,
Niko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kwa sasa ana miaka 30 kanzidi mwaka mmoja. mahusiano yana zaid ya miaka 6. (haya mahusiano hayakua straight mana kuna muda nlikua nahama mkoa hata miaka mi2, tena narudi tunaendeleza mahusiano). Kimuonekano mm sio handsome. Nina sura ya kawaida tu.
mwanamke huyu ana sifa zifuatazo
Yeye ni multiskilled, ni mpish mzuri sana yan akipika utajiramba, afu ni msusi afu ana ujuzi wa kushona kiufupi yy ni asset sio liability.
Miaka yote hyo hajawahi kuniomba pesa.(kuna watu mtasema eti kuna mwanaume ananisaidia majukumu). NO, huyu mwanamke n mpambanaji anafanya vibarua na sasa anafanya kibarua anacholipwa laki na nusu lakn hajawahi niomba hata 500 ya vocha.
Ni mwanamke mtiifu&anaenijali sana, nkiwa sina hela ya kula naenda kwake nakula nalala na asbuhi ananiogesha na nikiondoka siachi hata 100 na hajawahi nidai
Ni mwanamke mpambanaji na mwenye focus ya maisha yaan analipwa lak na nusu lakn kajibana mpaka kanunua vitu vyote vya ndani mfano kabati la nguo, la vyombo, kitanda, na vngine kwa pesa zake. sometimes hua ananipigia kakosa hela ya mboga anakula ugali na asali🥺
Kazn kwao wanatoka saa11 jion, akitoka kazn anaingia barabaran kwny zile folen anauza mataulo, chaja n. k kwa wale madriver.
LAKINI SASA:
Sikua na mpango wa kuoa kwa sasa lakn leo kanipigia smu anaongea huku akitoa sauti ya uchungu huku analia, anambia yeye anaona umri wake unaenda kwa hyo kama sina mpango wa KUMUOA n bora tuachane tu (naogopa nikimkosa je ntapata wapi mwngne kama yeye?)
Sura yake sio nzuri sana (simaanishi ni mbaya NO) ana sura ya kawaida tu yaan haivutii wala haikeri. mm pia sura yangu sio handsome nawaza watoto wetu si watakua na sura ambazo sio nzuri
Mimi bado nabangaiza na shughuli za ujasiriamali wa bidhaa ndogo ndogo, nikiingia kwny ndoa saiz hayo majukumu ya ndoa ntayaweza kwl?
Kanizid mwaka mmoja.
Nawaza sku nikikutana na mwanamke mwenye sura na muonekano naoutaka afu akanikubali je si ndo chanzo cha kuona nlikosea kuoa?
NB:sijamzalisha wala kumpa mimba.
Najua humu kuna watu wenye ujuzi na uzoefu wa haya mambo naombeni mnishauri jaman nimuoe au niachane nae??
🤣🤣Kazee mwenyewe kwendaaaaKumbe kazee🤣🤣🤣🤣 shikamoo dada kelsea
Sasa mzee mwezangu sii ndio tuoane jamani...yaani full burudani hamna utoto hapo wote sie mature🤣🤣Kazee mwenyewe kwendaaaa
📌Usije ukamuoa mwanamke kwasababu unamuhurumia....
Usije ukamuoa mwanamke kwasababu watu wamekushauri....
Usije ukaoa mwanamke kwasababu ana wezere.....
Mbona wewoo....😜