Kanizingua, Nimemzingua, Tumezinguana. Nimestuka Staki ujinga

Next time jibu hvi ... Usimuonee huruma mwanamke
 
Attachments

  • IMG_20240724_214411.jpg
    229.5 KB · Views: 1
Aaah kuna watu hawakumbuki fadhila kabisa kmmke mbona nashikwa hasira kabisa..

Kwaio leo kukosa 60k ya kumpa kwa wakati umeonekana huna hela si ndio....

Take it kama somo kuwa mbinafsi kwa mademu piga pita hivi... Ishi na wana tu
Yaani mkuu kuna mmoja huyo, kwanza, kanipiga tukio kama kiasi hivi, nikatoa, etii hoo bby naomba ya hisa, nikapiga block nikapita hivi.. Hawa viumbe sio, nawachukia, na hivi nimeoa acha nibaki njia kuu tu
 
Wako kimasilahi zaidi ukiendekeza hisia wanafilisi kiongozi hawana huruma nawewe.
Sio poa kak
 
Wako kimasilahi zaidi ukiendekeza hisia wanafilisi kiongozi hawana huruma nawewe.
Sio poa kak
Tena hata sijapiga mkuu, nikaanza kuletewa invoice, Mara bill ya making, Mara umeme, nilijuta kumjua mkuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, sasa Nina Amani pesa inaonekana,Niko huru hata wife now akishika simu Sina wengi, kiroho safi, hata nikisahau simu home sirudi home, kuna story nitaleta humu nikivyokuwa kipanga Zaman.. Yaani nilikuwa nikisahau simu Niko radhi nikodi ambulance inirudishe homeπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, kaka michepuko nimekoma.. Yaani nilichelewa wapi mm kujinasua, Ila nashukuru Mungu ni na Amani sasa, na hela napata kweli sasa.
 
Hahaha πŸ˜‚ ndo maisha yako hivo
 
Wanaume wamekuwa kama wanawake siku hizi yaani umbea unakula sana me sijui kwa nin lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…