Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpuuzi yaani mpaka uwasingizie wazee kule home, kwa nini usiishie tu kusema sina! Kwani angekuua?Asingenielewa maaana hapo alishapiga simu kama mvua.. nami sijapokea staki ujinga. Kibunda kipo cha kutosha maana amenivizia tarehe za mshahara anazijua.😅😅
Jamaa fala sana!Wallah kataja mpaka wazazi hahah
Sasa ulikuwa unajielez ilie iweje mpaka unasingizia Madeni ya Marehemu Baba Yako? Ndio maana kakudharauAsingenielewa maaana hapo alishapiga simu kama mvua.. nami sijapokea staki ujinga. Kibunda kipo cha kutosha maana amenivizia tarehe za mshahara anazijua.😅😅
Ukute kavaa na viatu vyenye manyoyaMbona amesema mwanaume ambaye ana kitu wanini? Au 😥😥
Mimi nilikuwanae huyo alikuwa akiniomba pesa na mwanambia sina,akilalamika shida zake nilikuwa na mjibu najua nikipata nitakupa toka nimjibu hivyo mpaka haja nitafuta. Hayo majibu nilikuwa namjibu kwasababu yeye alikuwa hataki kunipa sexy ila kwenye kuniomba pesa ana penda.Papuchi yenyewe kupeana mpaka mbakane ila pesa anajua kuomba na kudai kama zake, Nina hasira sana saivi staki ujinga...
Huyo mwanamke sio ustaarabu. Hivi mtu akikuomba kitu chake then akasema hana, si unatafuta sehemu nyingine na umjibu kisaataarabu tu. Kwani unapungukiwa nini? Yeye kama kashindwa kupata hiyo 60k kwa nini adhani mwanamme anayo?Tumedumu miaka 2 mpaka sasa so anajua ninachopitia ni ufala wake kichwani tu.. sasa ndio kashajifukuzisha
Wee anategemea na malezi na tabia ya mtu. Hakuna kitu nakithamini kama mchango wa mtu kwenye maisha yangu.Huruma
Fadhila
Shukrani
Na mengineyo yanayoendana na hayo usivitegemee kwa mwanamke hasa mkishakuwa ni wapenzi.
Wakubwa zanguMkuu kila mwezi nilikuwa namwekea laki 250 kwa mpesa yake just imagine kama ningesave hiyo for 2 yrs si ningekuwa mradi mzuri tu somewhere.
Noted..... tunaendelea kujifunzaKazingua jibu lingeishia kwenye sina. Hii code nilipewaga na pisi yangu fulani kipindi hicho.
We learn through mistakes....Jamaa fala sana!
Lia tu aisee halafu anakujibu kunya ivo, we jamaa aisee.Mkuu kila mwezi nilikuwa namwekea laki 250 kwa mpesa yake just imagine kama ningesave hiyo for 2 yrs si ningekuwa mradi mzuri tu somewhere.
Anamlipa mshahara ,kazi kwelikweli. Ameshamuona kiaziLia tu aisee halafu anakujibu kunya ivo, we jamaa aisee.
Ama kweli upele humwota asie na kucha.
Ndezi pro max aisee.Anamlipa mshahara ,kazi kwelikweli. Ameshamuona kiazi
Atapigwa matukio na ataachwaNdezi pro max aisee.
250k ni mshahara wa mtu kabisa huo.
Unamlipa 250k per month na bado unajitetea 😂😂😂.
Jamaa ana safari ndefu sana na hawezi iacha hiyo pisi