Kanizingua, Nimemzingua, Tumezinguana. Nimestuka Staki ujinga

Kanizingua, Nimemzingua, Tumezinguana. Nimestuka Staki ujinga

Wee anategemea na malezi na tabia ya mtu. Hakuna kitu nakithamini kama mchango wa mtu kwenye maisha yangu.

Mimi na mpenzi wangu tunasaidiana kwa shida na raha. Hakuna kuomba omba hela hivyo, ila kukiwa na big deals hata M 5 tunapeana kwa uaminifu mkubwa.
Ni wachache sana kwasasa kwenye dunia hii ya kizazi cha azuma.
 
Nishaachana nayo mkuu.
Ndezi pro max aisee.

250k ni mshahara wa mtu kabisa huo.

Unamlipa 250k per month na bado unajitetea 😂😂😂.
Jamaa ana safari ndefu sana na hawezi iacha hiyo pisi
 
1721586304141.jpg
 
Ndezi pro max aisee.

250k ni mshahara wa mtu kabisa huo.

Unamlipa 250k per month na bado unajitetea 😂😂😂.
Jamaa ana safari ndefu sana na hawezi iacha hiyo pisi
Kwa hiyo mimi ndezi si ndio mkuu.
 
Wewe ni mpuuzi yaani mpaka uwasingizie wazee kule home, kwa nini usiishie tu kusema sina! Kwani angekuua?
Kwa hulka yake asingenielewa. Na ni jambo jema kumweka mwenzio wazi ili awe aware kwanini utashindwa kumpatia alichokiomba angekuwa ni demu wa siku mbili tatu nisingemwambia.
 
Wakubwa zangu

Hivi hizo pesa za kuwapa wanawake zenu kila mwezi huwa mnazipataje? Hebu nipeni mbinu na mimi!

Mia mbili Hamsini Elfu kila mwezi! Qmmmmmk hata kama anakojoa almasi, sitowahi kufikia upuuzi huo. Hiyo pesa ni bora nikaipeleka shamba tu mpumbavu mimi
Upendo tu bro. Ila wenye true love tunakupenda mara moja tu ukizingua ndio kwaheri.
 
Back
Top Bottom