Kanoute na Aziz Ki nani zaidi?

Kanoute na Aziz Ki nani zaidi?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Chama yupo kwenye daraja la pekee yake, ni dhambi kumfananisha na Aziz Ki.

Sasa nimeona ni bora tumlinganishe na Mzee wa ICC Kanoute, bila kujali maeneo yao wanayocheza, tuangalie mchango wao kwenye timu zao.

Piga kura yako hapa, andika jina la mchezaji unayeona ni bora zaidi ya mwenzake. Hatutaki maneno mengi
 
Yani ingekua inawezekana ungefanyika utaratibu tu, madaktari wa mirembe wanakuja humu wanakaa kwenye huu uzi wawachukue watu wao kabla ya kusubiri tatizo likue waanze kuwakamata kwa kuwapiga risasi za usingizi.
 
Namba zinamtaja nani bora,??hata hivyo putin ni box to box afu domo ni attacking
 
Vipi tena ..mmehama kwa Chama..vizuri mmeona kwa Chama mlima mkubwa
 
Hivi Kanoute kaitwa timu ya Taifa?... Ujinga mwingine bana😅😅
Achana na mtoa mada, siku nyingine ukikaa na wanaojua soka hii sababu yako usiitoe ni nyepesi mno.

Kwanini? Kuna wachezaji hawaitwi timu zao za taifa sio kwamba hawana uwezo lahasha bali kuna muda sababu mbalimbali zinachangia.

Mfano: Maguire panga pangua lazma aitwe England japokuwa anakaa benchi Man Utd.

Au Trent Alexander Anorld haitwi mara kwa mara England sii kwakuwa kiwango kidogo hapana bali hamvutii kocha kwenye mfumo wake
 
Back
Top Bottom