Kanoute na Aziz Ki nani zaidi?

Kanoute na Aziz Ki nani zaidi?

Poleni wanayanga yaani pale mmepigwa
Huu ni ukweli hamtakaa mkubali
Au tuseme mfumo wenu hau fit jamaa ku perfom inavyotakiwa
 
Hivi pata wapi nguvu ya kumfananisha Aziz na ile skeleton inayojazwa upepo na wajinga kadhaa kwa kuitwa Putin. Achen utani bhana na chakushangaza haya yanakuja baada ya game na Horoya ambao mliwaokota tu kama dondokela la kuokota embe kwenye mlimao.

Sasa subirini robo mtakavyoenda kutia aibu taifa kama ilivyo kawaida yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo aziz ki wa kucheza dkk 9 ndo afanane na Putin? Had Nabi alimdharau Ufunguo ile juzi.

Woiiiiiiiih
 
Chama yupo kwenye daraja la pekee yake, ni dhambi kumfananisha na Aziz Ki.

Sasa nimeona ni bora tumlinganishe na Mzee wa ICC Kanoute, bila kujali maeneo yao wanayocheza, tuangalie mchango wao kwenye timu zao.

Piga kura yako hapa, andika jina la mchezaji unayeona ni bora zaidi ya mwenzake. Hatutaki maneno mengi

Unalinganisha keki na mchanga?
 
Hivi pata wapi nguvu ya kumfananisha Aziz na ile skeleton inayojazwa upepo na wajinga kadhaa kwa kuitwa Putin. Achen utani bhana na chakushangaza haya yanakuja baada ya game na Horoya ambao mliwaokota tu kama dondokela la kuokota embe kwenye mlimao.

Sasa subirini robo mtakavyoenda kutia aibu taifa kama ilivyo kawaida yenu
Kama tuliwaokota horoya mbona nyie mlifukuzwa huku champions league na mazembe wako mkaenda kwenye mashindano ya vibonde we vipi fikiria kwa kutumia kichwa na sio mwiko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo aziz ki wa kucheza dkk 9 ndo afanane na Putin? Had Nabi alimdharau Ufunguo ile juzi.

Woiiiiiiiih
Tactical mind game hiyo tatizo wewe ni kolo huwezi kuelewa haya.
 
Mimi ni Shabiki wa Simba damdam lakini ifike wakati mashabiki wa Simba tuache ushabiki maandazi na uzwazwa, Kweli leo umfananishe mchezaji anayelipwa zaidi kuliko wachezaji wote Tz na Afrika mashariki na kati na huyu mzembe Kanoute anayekosa magoli kizembe? Ifike wakati ushabiki usitufanye wajinga Aziz Ki ni level nyingine hauwezi kabisa kumlinganisha na huyu kinda wala mchezaji yeyote ndani ya Simba.
 
Back
Top Bottom