Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Timu ya taifa siku hizi si kigezo! Inategemea na mtazamo wa kocha kwa mchezaji.Hivi Kanoute kaitwa timu ya Taifa?... Ujinga mwingine bana[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya taifa siku hizi si kigezo! Inategemea na mtazamo wa kocha kwa mchezaji.Hivi Kanoute kaitwa timu ya Taifa?... Ujinga mwingine bana[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba nyie mnajua kuliko prof Nabi au,, Nabi mwenyewe siku hizi anampa dk 3 au 5 za kucheza,, Acha kumfananisha Putin na vitu vya hovyo..
Jibu linatakiwa liwe "aziz ki" au "Putin"Kuna kundu la watu wanaojiita mashabiki wa Simba wana matatizo ya akili sana. Mama ana kazi kubwa kudeal na watu wa aina hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aziz key kuitwa timu yake ya taifa ni kupe delewa tu mbona kiwango chake kina fanana na Adam Andambwile
Hata mie niliona, tena wakati Aziz ki anakunywa maji, Nabi alimkata jicho la dharau, nlichekaa had baas.Pia Nabi alionekana akisonya wakati anamuingiza zile dakika 3 za mwisho [emoji1787][emoji23][emoji28]
Mleta mada ni Kolo mwenzio.Vipi tena ..mmehama kwa Chama..vizuri mmeona kwa Chama mlima mkubwa
Azizi K waliwafanya nini? kwani amseajiliwa kuja kupambana na Chama? Yanga ni team yoyote anapewa nafasi ana cheza nyie endeleeni kumuabudu mungu wenuChama yupo kwenye daraja la pekee yake, ni dhambi kumfananisha na Aziz Ki.
Sasa nimeona ni bora tumlinganishe na Mzee wa ICC Kanoute, bila kujali maeneo yao wanayocheza, tuangalie mchango wao kwenye timu zao.
Piga kura yako hapa, andika jina la mchezaji unayeona ni bora zaidi ya mwenzake. Hatutaki maneno mengi
Hawana hamu na Ufunguo wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nisaidie Kuhesabu Kura hapa Maana mtanange huu si mchezo..!
Mpaka Muda huu tukielekea Mitamboni..
Hadi wee leo ume comment kinyongee bas imewafikaaa penyewe.Azizi K waliwafanya nini? kwani amseajiliwa kuja kupambana na Chama? Yanga ni team yoyote anapewa nafasi ana cheza nyie endeleeni kumuabudu mungu wenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chezaji la milioni 350 mlatreat hivi kweli? Wapi injinia hersi na biashara yako kichaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu umeingia kwwnye mtego wa mtoa mada.Mwisho wa msimu tutakutana hapa kujua nani ana kipi
Mtego wa nani ID zako zote hizi una akili kama za popomaMkuu umeingia kwwnye mtego wa mtoa mada...
Hivi una pata wapi nguvu ya kumfananisha Aziz na ile skeleton inayojazwa upepo na wajinga kadhaa kwa kuitwa Putin. Achen utani bhana na chakushangaza haya yanakuja baada ya game na Horoya ambao mliwaokota tu kama dondokela la kuokota embe kwenye mlimao.Jibu linatakiwa liwe "aziz ki" au "Putin"
Sasa wee maelezo haya yote yanatoka wapiii???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usifananishe Sadio Kanoute na waonesha mapaja.Chama yupo kwenye daraja la pekee yake, ni dhambi kumfananisha na Aziz Ki.
Sasa nimeona ni bora tumlinganishe na Mzee wa ICC Kanoute, bila kujali maeneo yao wanayocheza, tuangalie mchango wao kwenye timu zao.
Piga kura yako hapa, andika jina la mchezaji unayeona ni bora zaidi ya mwenzake. Hatutaki maneno mengi
Kuna nini.Kuna kundu la watu wanaojiita mashabiki wa Simba wana matatizo ya akili sana. Mama ana kazi kubwa kudeal na watu wa aina hii