Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Pia Nabi alionekana akisonya wakati anamuingiza zile dakika 3 za mwisho ๐คฃ๐๐Kwamba nyie mnajua kuliko prof Nabi au,, Nabi mwenyewe siku hizi anampa dk 3 au 5 za kucheza,, Acha kumfananisha Putin na vitu vya hovyo..
Achana na mtoa mada, siku nyingine ukikaa na wanaojua soka hii sababu yako usiitoe ni nyepesi mno.Hivi Kanoute kaitwa timu ya Taifa?... Ujinga mwingine bana๐ ๐