Kanoute na Aziz Ki nani zaidi?

Poleni wanayanga yaani pale mmepigwa
Huu ni ukweli hamtakaa mkubali
Au tuseme mfumo wenu hau fit jamaa ku perfom inavyotakiwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo aziz ki wa kucheza dkk 9 ndo afanane na Putin? Had Nabi alimdharau Ufunguo ile juzi.

Woiiiiiiiih
 

Unalinganisha keki na mchanga?
 
Kama tuliwaokota horoya mbona nyie mlifukuzwa huku champions league na mazembe wako mkaenda kwenye mashindano ya vibonde we vipi fikiria kwa kutumia kichwa na sio mwiko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo aziz ki wa kucheza dkk 9 ndo afanane na Putin? Had Nabi alimdharau Ufunguo ile juzi.

Woiiiiiiiih
Tactical mind game hiyo tatizo wewe ni kolo huwezi kuelewa haya.
 
Mimi ni Shabiki wa Simba damdam lakini ifike wakati mashabiki wa Simba tuache ushabiki maandazi na uzwazwa, Kweli leo umfananishe mchezaji anayelipwa zaidi kuliko wachezaji wote Tz na Afrika mashariki na kati na huyu mzembe Kanoute anayekosa magoli kizembe? Ifike wakati ushabiki usitufanye wajinga Aziz Ki ni level nyingine hauwezi kabisa kumlinganisha na huyu kinda wala mchezaji yeyote ndani ya Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…