Iran ni superpower wa nne..Superpower anakuwaga mmoja tuu Mkuu. Hao wengine wanahangaika kugombea kiti.
Iran bado Sana mkuu.
Iran aliwahi kuwa superpower Miaka hiyo kabla ya kuibuka Dola la rumi..
Kusema ati ni superpower ni kujaribu kuchekesha watu.
Kupambana na Marekani ikishirikiana na kIbaraka wake Israel sio kazi ndogo boss....Superpower anauliwa viongozi wake wakuu zaidi ya 40 huku yeye akitoka kapa kuua hata kiongozi mmoja wa adui zake?
Iran kaonyesha uwezo mzuri na mkubwa. Lakini umemzidishia sifa.
Superpower wanajulikana, China na Urusi sawa.
Iran anazuiwa kuwa superpower
Iran hii vita anaishikiria vizuri sana. Kashaona huu ndo mda wakuirudisha nchi yao kuwa huru kutoka kwa Mabeberu,akilegeza kaenda na maji.🇺🇸🇮🇷 Hii ndiyo sababu makubaliano kati ya Marekani na Iran ni magumu kuliko yanavyoonekana:
•Iran inataka mpango wake wa nyuklia usitishwe kwa miaka michache. Marekani inataka uondolewe kabisa.
•Iran inataka kuweka uranium iliyorutubishwa katika ardhi ya nyumbani. Trump inataka kuidhibiti kimwili.
•Iran haitafungua tena Hormuz hadi vikwazo vitakapoondolewa. Marekani haitaondoa vikwazo hadi kuwe na makubaliano.
•Iran inataka mali zilizogandishwa zenye thamani ya dola bilioni 20 zisipogandishwa na fidia ya vita yenye thamani ya dola bilioni 270. Na Marekani inataka Iran iwakatilie mbali kabisa Hezbollah na Hamas.
Kila moja kati ya haya ni mvunjaji wa makubaliano yenyewe.
Chanzo: Al Jazeera
View: https://x.com/marionawfal/status/2049041427070661093?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
KIONGOZI MKUU WA IRAN MOJTABA KHAMENEI:Iran hii vita anaishikiria vizuri sana. Kashaona huu ndo mda wakuirudisha nchi yao kuwa huru kutoka kwa Mabeberu,akilegeza kaenda na maji.