Ya kwamba ww unajua kuzidi kansera wa Ujerumani ?Lengo la USA kwa Iran limetimia,
- Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
- Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
- Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwę na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa, imagine mpaka mafuta kawabania kupata jamaa zake, hawaelewi waende kumsapoti Trump na vita take yenye agenda tata au wamsapoti muIran adui wao wa kitambo waliyempiga vikwazo miaka na miaka, yaani wamebaki wamechanganyikiwa, na Trump huwaita "weak" kwa kukosa maamuzi ya kishujaa.
Kitu kinacho mfanya Iran awe super power si uwezo wake wa kijeshi na kiuchumi tu bali pia jographia yake imekaa kimkakati na ina umuhimu mkubwa duniani.Superpower anauliwa viongozi wake wakuu zaidi ya 40 huku yeye akitoka kapa kuua hata kiongozi mmoja wa adui zake?
Iran kaonyesha uwezo mzuri na kinacho mkubwa. Lakini umemzidishia sifa.
Superpower wanajulikana, China na Urusi sawa.
Iran anazuiwa kuwa superpower
1. Unatoa hayatolla na unaweka hayatolal, kama talebani unaweeka talebanLengo la USA kwa Iran limetimia,
- Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
- Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
- Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwę na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa, imagine mpaka mafuta kawabania kupata jamaa zake, hawaelewi waende kumsapoti Trump na vita take yenye agenda tata au wamsapoti muIran adui wao wa kitambo waliyempiga vikwazo miaka na miaka, yaani wamebaki wamechanganyikiwa, na Trump huwaita "weak" kwa kukosa maamuzi ya kishujaa.
Kitu kinacho mfanya Iran awe super power si uwezo wake wa kijeshi na kiuchumi tu bali pia jographia yake imekaa kimkakati na ina umuhimu mkubwa duniani.
Imagene kieneo kidogo cha bahari chenye upana wa km 36 tu kimeifanya dunua nzima kwenye muyumbo wa kiuchumi.
Iran ni super power?!?!?!.Huyu Merz, baada ya viongozi wa Iran kuuliwa alienda Marekani kujipendekeza kwa Trump. Nakumbuka alisema Iran itakuwa kama Syria, alikuwa hajui nguvu za Iran, baada ya vita kajua Iran ni super power.
Unaleta propaganda za mashoga eti wananchi wa Iran hawaisapoti iran😂😂Iran ni super power?!?!?!.
Iran kwa miaka zaidi ya 40 imewekeza nguvu zake kwwnye masuala ya ulinzi na usalama...baasi.
Nyanja nyingine wako vby na ndio maana wananchi kibao wa Iran hawaisapoti serikali yao sema ni vile mbinyo ni mkali ndani ya nchi hawana pa kufurukutia.
Hata sasa hv toka vita vianze ile mwezi february hadi leo hakuna kabisa huduma ya internet...unadhani kwann wananchi wamekatiwa huduma hiyo??
Kama ni kweli wanaisapoti serikali yao pendwa!.
Mbona unajicontradict wewe mwenyewe sasa? comment yako namba 3 umemtaja Russia kua ni super power,hapa unasema super power hawezi kuwekewa vikwazo,Wewe kwa uelewa wako Superpower anaweza kumuwekea vikwazo?
Kiwango fulani ndio kiwango gani? ni kipimo gani hicho cha viwango kinachopima kiwango fulani?Iran anaweza kuwa na nguvu kwa kiwango fulani lakini kusema ni Superpower ni uongo
Regime change kwa lugha yetu kwa Tafsiri ambayo sio rasmi ni kubadilisha mfumo wa kiutawala uliopo madarakani. We niambie nani hawezi fikiwa hapo Iran mpaka sasa, kama seniors wote uliowajua wewe hawapo, usilete stori za wanatoa Ayatollah wanaweka Ayatollah, hata raisi aliyepo ni matokeo ya élimination ya mtangulizi wake kwenye ajali ya ndege.REGIME CHANGE maana yake ni nini kwa lugha ya kwetu?
Haya elezea imefanikiwaje?
Kwann huduma ya internet imezimwa takriban mwezi wa pili sasa!Unaleta propaganda za mashoga eti wananchi wa Iran hawaisapoti iran😂😂
1. There's only one Ayatollah, and that man is deceased, hizo nyingine za Ayatollah mwingine ni ngonjera, matokeo halisi wanayo waIran wenyewe mpaka hivi sasa huko Tehran.1. Unatoa hayatolla na unaweka hayatolal, kama talebani unaweeka taleban
2. Kama wapo destabilized ni nani aliomba poo aka cease fire? wachoikoze tena tuone.
3. Unajua au hujuhi kuwa kuna pipe kati ya china na Iran ?
4. Hurmzui its over things will never be the same again from now it will be under Iran and fees will be paid, utake usitake.
huyu anateswa na mahaba, sio facts za kinachoendelea Iran.Kwann huduma ya internet imezimwa takriban mwezi wa pili sasa!
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ni bora ukanyamaza kuepuka aibu ndogo ndogo.Regime change kwa lugha yetu kwa Tafsiri ambayo sio rasmi ni kubadilisha mfumo wa kiutawala uliopo madarakani. We niambie nani hawezi fikiwa hapo Iran mpaka sasa, kama seniors wote uliowajua wewe hawapo, usilete stori za wanatoa Ayatollah wanaweka Ayatollah, hata raisi aliyepo ni matokeo ya élimination ya mtangulizi wake kwenye ajali ya ndege.
Imefanikiwaje sasa, jibu lake hakika sio kwa asilimia mia, hii ni process, ila mpaka sasa kwa mtazamo wangu wameweza kwa asilimia zaidi ya tisini, kwanza kwa kuwaondoa waasisi wajuu wote, (Mfano: ingekuwa ni ACT wazalendo umemuondoa ZZK na machawa wake wote first class - mizizi mikuu). Japo of-course Iran sio kama Tanzania Kijeshi, kiuchumi n.k. Iła wametia aibu kwenye kutetea usalama wa viongozi wao.
Tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni uwepo wa upinzani mkubwa kwa seriali ya D. Trump, tena dunia nzima hasa kutoka marekani kwenyewe, hii inafanya tathimini nyingi kuwa bias ila ukweli kwenye hili la Iran upo huko Tehran kwa wenyewe huko kwao ndani, suala la umeme tu wanahamasishana kuwasha taa mbili kila nyumba, tena anaongea raisi mwenyewe. Hutopata ukweli wa mambo kutoka kwenye comments za viongozi wa China kuhusu hii vita au media kama Reuters ambazo ndio muhimili wa taarifa za kina Ritz , hali ni mbaya Iran, na mwisho wake hauna manufaa kwa chembechembe za regime iliyokuwepo ambayo kwa sasa ni kama a dying horse tu. Kumbuka wanaomkosa kosa Trump ni waamerika wenyewe, ila Iran wanauawa viungozi tokea nje direct.
Narudia kusema, Iran haipo tena kama ilivyokuwa, sio tishio tena kwa kiwango hicho, Imagine juzi tu walikuwa tayari kuwatoa kafara raia wao kwa kuwaweka ngao kwenye miundombinu, hapa walikuwa wakilenga huruma ya dunia endapo mmarekani angetekeleza azma yake, maana wanajua anaweza jipigia atakavyo.
Leta hoja, sio vihoja, Trump anachukiwa na Dunia nzima kwa sela zake, ukisikia US kajitoa WHO wanufaika wake ni wazungu hao hao, Germany ikiwemo. Umoja wa kujihami wa NATO anawalazimisha wawe na equality kwenye michango yao, waathirika ni hao Germany pia, Hormuz kufungiwa wanaokosa uhakika wa meli zao za mafuta kupenya kwa ufanisi na hata kulazimisha Iran kuwa na mipango ya kuweka Tozo hata zao Germany zinakosa uhakika, yaani, kiufupi diplomasia ya Trump ndio mwiba unaochoma mpaka Germany kwa hiyo usishangazwe na hiyo milio.Ya kwamba ww unajua kuzidi kansera wa Ujerumani ?
Kweli bongo bahati mbaya.
Kama marekani ameshinda mazungumzo sasa hivi anataka ya nn Iran hali ya kuwa aliyakataa tangu mwanzo mpaka akamua kuanzisha vita?Leta hoja, sio vihoja, Trump anachukiwa na Dunia nzima kwa sela zake, ukisikia US kajitoa WHO wanufaika wake ni wazungu hao hao, Germany ikiwemo. Umoja wa kujihami wa NATO anawalazimisha wawe na equality kwenye michango yao, waathirika ni hao Germany pia, Hormuz kufungiwa wanaokosa uhakika wa meli zao za mafuta kupenya kwa ufanisi na hata kulazimisha Iran kuwa na mipango ya kuweka Tozo hata zao Germany zinakosa uhakika, yaani, kiufupi diplomasia ya Trump ndio mwiba unaochoma mpaka Germany kwa hiyo usishangazwe na hiyo milio.