Bahati nzuri Mkuu mimi sio single maza na sina dalili ya kuachika na sitokuja kuachikaNawewe ni singo maza uliyee nyooka nilete posa. Napenda wanawake waliozaa tena wanakuwa na akili kubwa sana ya maisha
Kajunjumele MkuuUkwapi....😋
Achana na mapenzi Mkuu anachopata Kante hatukijui, inawezekana hata wewe ungezama😀Soma history ya huyo mmama alishawahi nusu ya kumfilisi mwanamme wake wa mwanzo mchezaji wa zamani wa ufaransa cisse ambae ndio wamezaa nae watoto hao watatu.. ambao kante now ndio anawalea
Ishi nae tu Mkuu, umri ni nambaMimi mwenyewe kuna mwanamke ana watoto watatu kanizidi miaka 4 na miezi minne nataka kuishi naye 😁😁😁
Huyo mtoto ambae sio wako by birth mnaishi nae nyumba moja??They have no problem kawaida tu. Sie waislam ukimstir mtu hvyo unapata neema kwa mwenyez kuliko angekua chapa ilale. Foster father na mtt mmoja nimezaa na wife wala hakuna shida na mambo yanaenda vzuri.... Unaweza pata mtu normal na kichaa vile vile
Tatizo Sisi Wa Africa Tuliokuwa Ughaibuni Sijuhi Tumerogwa Na Nani Aiseee?Jamaa amejichanganya Sana sijui kaona Nini kwa huyo mtalikiwa
Nyoro/rinda?Hamjui anapewa nini
naungana na jeff, elon, gates etc ni bora wawaonge vimada hata 1m usd/nyt, mke wa jeff alikomba b30+ nililia sana.Jibu simple la hilo ulilolitoa kwenye line ya kwanza,kuwapa vimada life la gharama huwezi fananisha na gharama za talaka. Ndio maana hawana mpango wa kuoa japo hawatosema mbele ya umma,ndio maana wapo tayari kutoka na vimada na kuspend na ila si kuoa.
Simpangii mtu life dunia ni yake na hela ni zake, ila haimzuii mtu kuongea kila kinacho onekana. Mabilionea wengi na watu wenye hela,wengi wao baada ya kuachana na wanawake zao za ndoa,hawana mpango tena wa kuingia kwenye ndoa.Life yao kwa sasa ni kuspend na vimada,sababu hela ya kula bata ni kama pocket money kwao huwezi linganisha na mgawanyo atakao utoa kwenye talaka.
No anaishi na bibi yake mzaa mama yake.Huyo mtoto ambae sio wako by birth mnaishi nae nyumba moja??
Duh!Miaka miwili baadae 2014, Ngolo Kante alikutana na Jude Littler kwenye klabu ya usiku na walioana miezi michache baadae. Jude Littler ana umri wa miaka 48 huku Ngolo Kante akiwa na umri wa miaka 33, Jude anamzidi umri kwa miaka 15.