Kante Amtafute Hakimi, Emmanuel Eboue awe Case Study

Kante Amtafute Hakimi, Emmanuel Eboue awe Case Study

Soma history ya huyo mmama alishawahi nusu ya kumfilisi mwanamme wake wa mwanzo mchezaji wa zamani wa ufaransa cisse ambae ndio wamezaa nae watoto hao watatu.. ambao kante now ndio anawalea
Achana na mapenzi Mkuu anachopata Kante hatukijui, inawezekana hata wewe ungezama😀
 
They have no problem kawaida tu. Sie waislam ukimstir mtu hvyo unapata neema kwa mwenyez kuliko angekua chapa ilale. Foster father na mtt mmoja nimezaa na wife wala hakuna shida na mambo yanaenda vzuri.... Unaweza pata mtu normal na kichaa vile vile
Huyo mtoto ambae sio wako by birth mnaishi nae nyumba moja??
 
Sisi Wa Africa Tuliokuwa Ughaibuni Sijuhi Tumerogwa Na Nani Aiseee?
 
Daaaaaah kumbe hili jamaa ni lizezeta kiasi hicho 🤦🏾🤦🏾🤦🏾🤦🏾
 
Jibu simple la hilo ulilolitoa kwenye line ya kwanza,kuwapa vimada life la gharama huwezi fananisha na gharama za talaka. Ndio maana hawana mpango wa kuoa japo hawatosema mbele ya umma,ndio maana wapo tayari kutoka na vimada na kuspend na ila si kuoa.

Simpangii mtu life dunia ni yake na hela ni zake, ila haimzuii mtu kuongea kila kinacho onekana. Mabilionea wengi na watu wenye hela,wengi wao baada ya kuachana na wanawake zao za ndoa,hawana mpango tena wa kuingia kwenye ndoa.Life yao kwa sasa ni kuspend na vimada,sababu hela ya kula bata ni kama pocket money kwao huwezi linganisha na mgawanyo atakao utoa kwenye talaka.
naungana na jeff, elon, gates etc ni bora wawaonge vimada hata 1m usd/nyt, mke wa jeff alikomba b30+ nililia sana.
 
Mpira kabla haujaanza Ng'olo Kante ashapigwa 3 bila.
Yupo yupo tu anajichekesha na vile alivyo mweusi sijui Muha huyu! Angekuwa bwana mdogo wangu ningemlamba makofi
 
Nyie hamna tofauti na wazee wa zamani kuchagulia watu wenza wao wa maisha
 
Miaka miwili baadae 2014, Ngolo Kante alikutana na Jude Littler kwenye klabu ya usiku na walioana miezi michache baadae. Jude Littler ana umri wa miaka 48 huku Ngolo Kante akiwa na umri wa miaka 33, Jude anamzidi umri kwa miaka 15.
Duh!
 
Back
Top Bottom