Kante Amtafute Hakimi, Emmanuel Eboue awe Case Study

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
20240908_004513.jpg

KANTE AMTAFUTE HAKIMI. EMMANUEL EBOUE AWE CASE STUDY.

Ngolo Kante, nyota wa zamani wa Chelsea na mshindi wa kombe la dunia akiwa na timu ya taifa ya Ufaransa amemuoa mwana mama raia wa Uingereza anayeitwa Jude Littler (pichani). Jude ni mfabiashara na mtangazaji wa television ya ITV Wales and S4C.

Jude Littler alikuwa ni mke wa zamani wa Djibrin Cisse, mchezaji wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa. Cisse na Littler alioana mwaka 2005, ilipofika mwaka 2012; Cisse na Littler walitalakiana na Littler alichukua sehemu kubwa ya utajiri wake.

Miaka miwili baadae 2014, Ngolo Kante alikutana na Jude Littler kwenye klabu ya usiku na walioana miezi michache baadae. Jude Littler ana umri wa miaka 48 huku Ngolo Kante akiwa na umri wa miaka 33, Jude anamzidi umri kwa miaka 15.

Cha kufurahisha zaidi ni kwamba wakati Kante anamuoa Jude alimkuta na watoto 3 kwa mumewe wa zamani Djibrin Cisse ambaye Ngolo Kante sasa anawalea kama watoto wake. Kante na mke wake Jude hawana mtoto wa kumzaa.

*****
Huu ni mtego wa kiungo wa boli, Ngolo Kante. Huu mtego aliusanukia Hakimi ila ulimnasa Emmanuel Eboue na akaachwa bila kitu. Mwamba anakaba sana uwanjani ila huku amekabwa aiseee! 😂
Source @mdemupolycarp X
 
View attachment 3089817

Hao wanawake wa Kizungu ni mashetani
 
Ngolo Kante kumbe boya namna hii hata akipigwa Mapinga wote sawa kajitakia mwenyewe unaoaje single mama mzee wa watoto watatu
 
Usiishi maisha ya watu wengine.

Kuangaika na maamuzi ya wengine maana yake kwenye maisha yako hakuna kinachoendelea mpaka una muda wa kuangaika na maisha yako.

Huyo Konte hata JF aijui

Worry about you, hizo sehemu wanazoenda ku-chill hakina Konte hao ndio mademu wanaokutana nao.

Na wao wanajua kama wanaviziwa, wana mifano ya wenzao waliopigwa na mifano.ya wenye ndoa zenye mafanikio pia.

Usiwapangie watu maisha
 
Back
Top Bottom