Nakupa mfano Jeff Benzos wa Amazon talaka na mkewe imemtoka USD 40bil, hivi huyu Jeff's akioa tena na kuachika hata mara mbili unazani tabakiwa na kiasi gani na hapo bado Allomony na Child Support. Ndio maana hawa matajiri hawataki kuoa,sababu wanajua wanawake wengi wapo after utajiri wao, so kwa sasa ni mwendo wa kuspend na vimada, akimchoka anatafuta mwengine.
Hatuingilii maamuzi ya mtu bali tunaangalia trend ya wanaume matajiri na talaka,life lao baada ya talaka. Kweli Kante anamaamuzi yake,ila yakimkuta nae anaingia kundi lile lile tuu.Mfano tu 50 cents alimuonya Tyrese kipindi anaingia kwenye ndoa kuhusiana na huyo mwanamke, inamaana 50 alikuwa anampangia Tyrese jinsi ya kuishi. Leo Tyrese kaachana na mkewe,talaka imemkamua anamkumbuka 50,sometimes kwenye intvw mpaka anatoa machozi.Dr Dree washkaji zake nae walimshauri juu ya mke aliye muoa,inamaana washkaji zake Dr Dre walikuwa wanampangia maisha, leo baada ya kukamuliwa kwenye talaka anawakumbuka wana japo kimoyomoyo. Unaweza ukakuta behind the scene wachezaji wenzake wa France waliyo pitia maumivu ya talaka Henry na Saha ,washamwambia ila sisi hatujui, maana Saha nae anapitia maumivu makali sana baada ya talaka.
View attachment 3089995
Kwa mbele wanaume ambao wapo salama ni wale walio anza na wenza wao tokea wakiwa hawana kitu mfano LeBron,Messi,Etoo,Snoop Dogg nk.Hawa ni ngumu sana kuja kuachana sababu walianza wakiwa hawana kitu. Ila hawa wanaokuja baada ya kuwa na hela wengi wao wapo after money.
Hivi unajua US kwa utafiti uliyo fanyika asilimia 70+ ya talaka zinakuwa initiated au hufunguliwa na wanawake, hushajiuliza ni kwa nini?