Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hii 😂😂Kwann uchepuke na mke wa mtu,
Chepuka na mke wako.
🤣🤣🙏🏽Kwann uchepuke na mke wa mtu,
Chepuka na mke wako.
8. Usimchukulie kama mtu wa thamani sana mwanamke unaye chepuka naye! Maana tayari ana mtu wake. Hivyo unatakiwa ujione kama kidumu tu au second selection kwake.
Mke wa mtu sumumke wa mtu ni sumu! Hivyo wanaume tunatakiwa kuachana kabisa na tabia ya kutembea na wake za watu. Maana madhara yake ni makubwa, na hasa ikitokea umefumaniwa na mwenye mke.
Humu watu kila siku wanalia kwamba Wake zao wanapigwa na watu na kupelekea ndoa kuvunjika.......Hiyo kanuni ya Mke wa Myu ni sumu haifanyi kazi?Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume.
Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:-
1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye.
2. Ukimpigia simu, halafu mpokeaji akakata mara moja; basi usirudie tena na tena kumpigia. Maana inawezekana mwenye mali yupo karibu naye.
3. Usimtumie ujumbe mfupi wa mapenzi kwenye simu yake, au kutengeneza mazingira ya kuchat naye mara kwa mara kupitia whatsapp, texts, nk. Ni hatari kwako.
4. Usishawishike kwa namna yoyote ile kwenda kulala kwa huyo mwanamke. Utawekewa mtego na kuishia kukatwa katwa vipande na kwenda kutupwa mtoni.
5. Usije naye mazoe ya kukutana naye sehemu moja. Mfano kila mnapokuwa na miadi ya kuonana, basi lazima mkutane Kamficheni Lodge! Ni hatari kwako.
6. Usiwashirikishe marafiki zako au marafiki zake kwenye hayo mahusiano yenu. Hakikisha usiri unatawala muda wote baina yenu.
7. Akikupigia simu, usikimbilie kupokea! Hakikisha anaanza yeye kuongea. Ukikurupuka kupokea unaweza kuingia kwenye mtego iwapo aliyepiga ni mume wake akitaka kujiridhisha mwenye hiyo nba ni nani.
8. Usimchukulie kama mtu wa thamani sana mwanamke unaye chepuka naye! Maana tayari ana mtu wake. Hivyo unatakiwa ujione kama kidumu tu au second selection kwake.
9. Ikitokea kichwa cha chini kimekizidi nguvu kichwa cha juu na hivyo kujikuta umetengeneza mazingira ya ghafla ya kuonana naye, basi hakikisha unateremsha suruali yako nusu tu! Ili likitokea la kutokea, uweze kujitetea kwa kutimua mbio.
10. Hii kanuni ya 10 na ya mwisho, ndiyo muhimu na ya msingi kuliko kanuni zote hapo juu! Na yenyewe inasema hivi; mke wa mtu ni sumu! Hivyo wanaume tunatakiwa kuachana kabisa na tabia ya kutembea na wake za watu. Maana madhara yake ni makubwa, na hasa ikitokea umefumaniwa na mwenye mke.
Yaani hata ikitokea mwanamke mwenye ndiyo anakuletea vishawishi; hakikisha unavishinda ili kuepukana tu na usumbufu, fedheha na athari utakazopata, baada ya kufumaniwa na mwenye mke.
Naomba kuwasilisha.✍️
Iandike pls...au ya wale malaikaKuna comment naitafuta siioni.
Hayo mateso ndio yanayozidisha utamu sasa kwenye zoezi zimaMateso yote ya nini kuna mshangaz nachat nao DM Instagram ukiwa online mambo ya normal text hayafai .
Niache mahi! 😂Iandike pls...au ya wale malaika
Kuna maziwaaa na kutaitiwa in G Nako's voice 😂😂Humu watu kila siku wanalia kwamba Wake zao wanapigwa na watu na kupelekea ndoa kuvunjika.......Hiyo kanuni ya Mke wa Myu ni sumu haifanyi kazi?
Au ni vitisho tu?
Wema wa Mungu unaokuweka mimi na wewe hai leo ni ili tugeuke na kuziacha njia zetu mbaya, tumrudie yeye, atusamehe dhambi zetu. 1 KORINTHO 6:18-20 INASEMA, Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? wala nini si mali yenu wenyewe, maana mlinunuliwa kwa thamani. sasa basi mtukuzeni Mungu katika miili yenu.Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume.
Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:-
1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye.
2. Ukimpigia simu, halafu mpokeaji akakata mara moja; basi usirudie tena na tena kumpigia. Maana inawezekana mwenye mali yupo karibu naye.
3. Usimtumie ujumbe mfupi wa mapenzi kwenye simu yake, au kutengeneza mazingira ya kuchat naye mara kwa mara kupitia whatsapp, texts, nk. Ni hatari kwako.
4. Usishawishike kwa namna yoyote ile kwenda kulala kwa huyo mwanamke. Utawekewa mtego na kuishia kukatwa katwa vipande na kwenda kutupwa mtoni.
5. Usije naye mazoe ya kukutana naye sehemu moja. Mfano kila mnapokuwa na miadi ya kuonana, basi lazima mkutane Kamficheni Lodge! Ni hatari kwako.
6. Usiwashirikishe marafiki zako au marafiki zake kwenye hayo mahusiano yenu. Hakikisha usiri unatawala muda wote baina yenu.
7. Akikupigia simu, usikimbilie kupokea! Hakikisha anaanza yeye kuongea. Ukikurupuka kupokea unaweza kuingia kwenye mtego iwapo aliyepiga ni mume wake akitaka kujiridhisha mwenye hiyo nba ni nani.
8. Usimchukulie kama mtu wa thamani sana mwanamke unaye chepuka naye! Maana tayari ana mtu wake. Hivyo unatakiwa ujione kama kidumu tu au second selection kwake.
9. Ikitokea kichwa cha chini kimekizidi nguvu kichwa cha juu na hivyo kujikuta umetengeneza mazingira ya ghafla ya kuonana naye, basi hakikisha unateremsha suruali yako nusu tu! Ili likitokea la kutokea, uweze kujitetea kwa kutimua mbio.
10. Hii kanuni ya 10 na ya mwisho, ndiyo muhimu na ya msingi kuliko kanuni zote hapo juu! Na yenyewe inasema hivi; mke wa mtu ni sumu! Hivyo wanaume tunatakiwa kuachana kabisa na tabia ya kutembea na wake za watu. Maana madhara yake ni makubwa, na hasa ikitokea umefumaniwa na mwenye mke.
Yaani hata ikitokea mwanamke mwenye ndiyo anakuletea vishawishi; hakikisha unavishinda ili kuepukana tu na usumbufu, fedheha na athari utakazopata, baada ya kufumaniwa na mwenye mke.
Naomba kuwasilisha.✍️
2010!Shida zote hizo za nini.... Watoto wa 2008, 2009,2010 wamejaa