Kanuni 10 muhimu za kukusaidia na kukulinda mwanaume unapochepuka na mke wa mtu

8. Usimchukulie kama mtu wa thamani sana mwanamke unaye chepuka naye! Maana tayari ana mtu wake. Hivyo unatakiwa ujione kama kidumu tu au second selection kwake.

mke wa mtu ni sumu! Hivyo wanaume tunatakiwa kuachana kabisa na tabia ya kutembea na wake za watu. Maana madhara yake ni makubwa, na hasa ikitokea umefumaniwa na mwenye mke.
Mke wa mtu sumu
 
Humu watu kila siku wanalia kwamba Wake zao wanapigwa na watu na kupelekea ndoa kuvunjika.......Hiyo kanuni ya Mke wa Myu ni sumu haifanyi kazi?

Au ni vitisho tu?
 
Humu watu kila siku wanalia kwamba Wake zao wanapigwa na watu na kupelekea ndoa kuvunjika.......Hiyo kanuni ya Mke wa Myu ni sumu haifanyi kazi?

Au ni vitisho tu?
Kuna maziwaaa na kutaitiwa in G Nako's voice πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wema wa Mungu unaokuweka mimi na wewe hai leo ni ili tugeuke na kuziacha njia zetu mbaya, tumrudie yeye, atusamehe dhambi zetu. 1 KORINTHO 6:18-20 INASEMA, Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? wala nini si mali yenu wenyewe, maana mlinunuliwa kwa thamani. sasa basi mtukuzeni Mungu katika miili yenu.

God has trusted you with that body, sio kwamba ili uuchafue, bali ili uutunze, unapozini unauchafua,anaweza kukunyang'anya akiamua, hata ukiona upo hai jua wema wake unakuhifadhi akitegemea kuna siku utastuka kuona umeneemewa ukatubu na kugeuka, usichezee neema ya Mungu.

kwenu ninyi ambao hamjaokoka, hivyo hivyo ulivyo Mungu atakupokea na atabeba mizigo yako yote, sali sala hii pamoja na mimi:

Eee Mungu wangu, mbele zako mimi ni mwenye dhambi, ninaamini ulimtoa Yesu Kristo alikufa kama kafara kwa ajili ya ukombozi wangu, naomba unisamehe, uniokoe kuanzia leo, mimi niwe mali yako, futa jina langu katika Kitabu cha hukumu, andika jina langu katika Kitabu cha Uzima cha Mwana Kondoo Yesu Kristo, Katika Jina la Yesu! Amen.

hivihivi kimchaezo mchezo umeshaokoka, acha dhambi, kimbia dhambi na jiunge na wale waliookoka ili mmwabudu Mungu pamoja. Ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…