Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 403
Habari za muda huu.
Hizi ndio sheria 9 ambazo kila mwanaume inabidi asijue!
1. Mwanaume inabidi uweze ku control hisia zako.
2. Mwanaume inabidi uwe na uwezo kwa kuchanganua mambo kwa kutumia logic.
3. Mwanaume inabidi awe na uwezo wa kucontrol hasira zake.
4. Mwanaume hutakiwi kujieleza sana kwa demu wako au kuomba msamaha na ukiomba msamaha inabidi useme ni kosa langu na sio samahani.
5. Mwanaume inabidi awe kiongozi wa maisha yake na watu wanao mzunguka katika jamii.
6. Mwanaume inabidi awe mlinzi wa watu wanao mzunguka.
7. Mwanaume hatakiwi kukimbia matatizo bali awe na uwezo wa kuyakabili matatizo.
8. Mwanaume inabidi awe anajihusisha na kujenga jamii namanisha shughuli yoyote ambayo ina add value kwa jamii.
9. Mwanaume inabidi awe na nidhamu katika mambo yake anayofanya kila siku asitegemee motisha kutoka kwa watu iwe ni online au offline
Ahsanteni.