Kanuni 9 ambazo kila mwanaume inabidi azijue

Kanuni 9 ambazo kila mwanaume inabidi azijue

ukiwa na pesa halafu huna sifa za kiume utaheshimika kwa unafiki na wanwake watakuita mbumbumbu watakula pesa zako kibaya watu hawajui kunakua na pesa afu kuna uanaume??
Ndio hapo sasa. Sifa za mwanaume ni zile zile uwe na pesa au usiwe nazo
 
Ndio hapo sasa. Sifa za mwanaume ni zile zile uwe na pesa au usiwe nazo
yap si unaona mtaani unakuta mtu namkawanja ila unakuta tabia zinakushangaza kuna bro mmoja yuko vizuri tu ila mtaa mzima akipita hapa ni kujisifia kwamba anahonga sana afu ni wanaovaa vikaptula vifupi, mazoea na mademu hovyo hovyo ,ikitokea mtu kapishana naye kauli anatukana..ndio anapesa lakini heshima ya uanaume haipo watu wanajikomba kumsifia umependeza,una mademu wengi ili tu watatuliwe shida zao
 
Back
Top Bottom