Wanaojiita wenye nchi hawajasoma alama za nyakati.
Wenge la katiba mpyaπππ
View attachment 2164840
πππ
View attachment 2164841
Ni utapiamlo mkubwa wa akili kuamini kuwa kuna siku CCM watakubali kuandika katiba mpya kwa hiari yao.Si yuko kwenye mitano yake ya kwanza huyu?
Hayupo mwenye kuridhia Katiba Mpya kwenye Mitano yake ya Mwanzo
Mwache aendelee kuwasikiliza kina Phillipo Bukililo bila kuchanganya na za kwake.
πππ
View attachment 2164852
Inawezekana Zitto ameshakata tamaa na maisha katika Ulimwengu wa siasa, anatafuta mitaji ya biashara tu au uwekezaji mkubwa.Kutokana na usaliti wa Zitto na ACT yake, maisha ya ACT, hakika yatategemea uharamia wa CCM. Siku uharamia wa CCM umekomeshwa, itakuwa pia mwisho wa ACT.
Albadiri itaondoka na Samia, na tayari anapuyanga, takbiiirrrr..!Wenge la katiba mpyaπππ
View attachment 2164840
Hakuna jambo baya kama kuishi kwa mazoea. Miaka mingi sana CCM imekuwa ikitabiriwa kufa lakini bado iliendelea kushika madaraka japo si kwa njia zilizonyooka. Hili limeifanya iwe na mazoea na kujiamini kuwa watapita tu.
Jambo baya la mazoea ni kujenga dharau, kibri na kujiamini kupitiliza. CCM wanasahau kuwa nyakati zinabadilika, utandawazi umekuwa mkubwa kupelekea uelewa mkubwa zaidi. Zile zama za kuwa siasa ni kwa ajili ya wazee tu zimepita.
Hili swala la katiba ndio hasa litakaloleta anguko la CCM, kwa sasa hata mtoto mdogo keshajua kuwa tuna katiba mbovu, hivyo watafanya kiini macho, watapotosha ukweli na hata kutumia nguvu kama kawaida yao lakini mwisho wa siku katiba mpya itabidi ipatikane tu ili mambo yaende sawa.
Ni muda mfupi ujao Katiba mpya haitokuwa ombi tena bali ni amri, Mungu ajaalie tusifike huko maana athari yake haitokuwa ndogo. Amri ya kutaka katiba itaamsha machungu ya hata yale yaliyopita.
Hakuna biashara atafanya na kufanikiwa, hawezi kuuza uhai wa wazanzibar kirahisi hivyo, na abaki salama.Inawezekana Zitto ameshakata tamaa na maisha katika Ulimwengu wa siasa, anatafuta mitaji ya biashara tu au uwekezaji mkubwa.
Inawezekana Zitto ameshakata tamaa na maisha katika Ulimwengu wa siasa, anatafuta mitaji ya biashara tu au uwekezaji mkubwa.