Watafeli tuKufanya siasa hapa nchini hakujawahi kupungikiwa vitimbwi.
Haki, usawa na ustaarabu vimemilikishwa chama tawala. Mamlaka ikajikita kuhakikisha wengine hawafurukuti.
Yote haya yakifanikishwa kutokana na mapungufu makubwa ya makusudi kwenye katiba ya nchi isiyokidhi zama tulimo.
Pana sheria zinazo simamia uwepo na shughuli za vyama vya siasa zenye kujitosheleza kwa mujibu wa katiba.
Ajabu na kweli mamlaka imekuwa ikizikiuka sheria hizi kwa miaka yote. Kwa sababu hawawezi tena kuendelea kuzikiuka kama zilivyo, sasa kunakuja zinazoitwa kanuni ili kuhalalisha batili hii kuendelea.
Kufanikisha hili TCD ya Mwami Ruyagwa imekabidhiwa mikoba hiyo.
Katika TCD kuna vyama vya 5 (ACT, CCM, Chadema, CUF na NCCR). CCM na ACT vina agenda zilizo tofauti zaidi na vingine. Hawa ndiyo wanaoonekana kuwa waasisi wa mkakati mpya huu.
Lengo kuu likiwa kufifisha agenda ya madai ya katiba mpya.
Haihitajiki kuwa nabii kutambua kuwa msingi mkuu wa zinazosemekana kanuni za vyama siasa zitakuwa kuhakikisha hakuna katiba mpya hadi angalau baada ya 2025.
Panga pangua kwa mujibu wa kanuni za kina Mwami Ruyagwa na wenzake, kudai katiba mpya kabla ya 2025 itakuwa ni haramu kuliko kulima bange.
Acha ikae hivyo hivyoInawezekana Zitto ameshakata tamaa na maisha katika Ulimwengu wa siasa, anatafuta mitaji ya biashara tu au uwekezaji mkubwa.
Alivyokuwa anawaomba wazungu wasiikopeshe pesa serikali mnamchekea mlidhani unafiki ule ungeishia kwenye serikali ya awamu ya tano tu?Mwami Ruyagwa kwa kutokujua au kwa kujua, ni mzigo mkubwa kwa taifa hili
Alivyokuwa anawaomba wazungu wasiikopeshe pesa serikali mnamchekea mlidhani unafiki ule ungeishia kwenye serikali ya awamu ya tano tu?
Hili ni wazo jipya ninaloliunga mkono.Inawezekana Zitto ameshakata tamaa na maisha katika Ulimwengu wa siasa, anatafuta mitaji ya biashara tu au uwekezaji mkubwa.
Zitto si ameshahakikishiwa ajira kwa miaka 9?Kutokana na usaliti wa Zitto na ACT yake, maisha ya ACT, hakika yatategemea uharamia wa CCM. Siku uharamia wa CCM umekomeshwa, itakuwa pia mwisho wa ACT.
Zitto ilikuwa ateuliwa muda tu kabla ya Zuhura Yunus ila vetting imemkataa.Hili ni wazo jipya ninaloliunga mkono.
Au pengine kaona njia pekee ya yeye kuendelea kuwa 'relevant' ndani ya siasa ni kujisalimisha kwa CCM. Sasa anasubiri tu uteuzi na maisha yaendelee.
Hivi kweli kuna kitu kama "vetting" katika nchi yetu, au hii inafanya kazi kwa baadhi ya wateuliwa na haifanyi kazi kwa wengine?Zitto ilikuwa ateuliwa muda tu kabla ya Zuhura Yunus ila vetting imemkataa.
Gamba linavuliwa, Kwa staili ipi, sijui😃😃
Na mimi naunga mkono Katiba mpya baada ya 2025 kwa sababu ya Bunge hili kutawaliwa na wana ccm.Kufanya siasa hapa nchini hakujawahi kupungikiwa vitimbwi.
Haki, usawa na ustaarabu vimemilikishwa chama tawala. Mamlaka ikajikita kuhakikisha wengine hawafurukuti.
Yote haya yakifanikishwa kutokana na mapungufu makubwa ya makusudi kwenye katiba ya nchi isiyokidhi zama tulimo.
Pana sheria zinazo simamia uwepo na shughuli za vyama vya siasa zenye kujitosheleza kwa mujibu wa katiba.
Ajabu na kweli mamlaka imekuwa ikizikiuka sheria hizi kwa miaka yote. Kwa sababu hawawezi tena kuendelea kuzikiuka kama zilivyo, sasa kunakuja zinazoitwa kanuni ili kuhalalisha batili hii kuendelea.
Kufanikisha hili TCD ya Mwami Ruyagwa imekabidhiwa mikoba hiyo.
Katika TCD kuna vyama vya 5 (ACT, CCM, Chadema, CUF na NCCR). CCM na ACT vina agenda zilizo tofauti zaidi na vingine. Hawa ndiyo wanaoonekana kuwa waasisi wa mkakati mpya huu.
Lengo kuu likiwa kufifisha agenda ya madai ya katiba mpya.
Haihitajiki kuwa nabii kutambua kuwa msingi mkuu wa zinazosemekana kanuni za vyama siasa zitakuwa kuhakikisha hakuna katiba mpya hadi angalau baada ya 2025.
Panga pangua kwa mujibu wa kanuni za kina Mwami Ruyagwa na wenzake, kudai katiba mpya kabla ya 2025 itakuwa ni haramu kuliko kulima bange.
Wanasema "if you can't beat it you join it."Na mimi naunga mkono Katiba mpya baada ya 2025 kwa sababu ya Bunge hili kutawaliwa na wana ccm.