Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sasa mbona unalalamika badala ya kutoa mapendekezo? Mimi nimetolea mifano mataifa yaliyoendelea kimpira ili tuige kutoka kwao. Wewe hupendi vitu vizuri? Unataka wachezaji wazuiliwe kuwa na wadhamini wafe njaa au wakaibe?Unalalamika Bure Ila tafuta maarifa ya kibiashara utaelewa zaidi. Unahitaji elimu! Elimu! Elimu. Refer sportpesa na 1×bet caf champions league. Pia soma zaidi kanuni na taratibu za udhamini. Yapo mambo,ikiwa huna uelewa nayo ni vyema ukatafuta ufafanuzi kwa wanaojua....sio kujifanya unajua kumbe unajishishia credibility.
Ndiyo na vikaridhia kasoro SimbaHivi lile swala la GSM hadi simba ikagoma kuvaa vilabu vilishirikishwa?
Hujui kuwa TPBL ni entity Huru.Na bodi ya ligi ipo chini ya nani?
Ronaldo alisign na Nike kama brand ambassador kabla adidas hajasign na Madrid. Barclays alikua ni mfadhili wa League,standard chartered ni mfadhili wa club mfano NBC anadhamini league yetu lakini sio vilabu vyetu so kila timu inaouwezo wa kutafuta mdhamini na ndio maana tuna akina sportpesa n.k.Mkuu sasa mbona unalalamika badala ya kutoa mapendekezo? Mimi nimetolea mifano mataifa yaliyoendelea kimpira ili tuige kutoka kwao. Wewe hupendi vitu vizuri? Unataka wachezaji wazuiliwe kuwa na wadhamini wafe njaa au wakaibe?
Basi kama shida ni hii NBC wawe wanawalipa wachezaji wanaokosa pesa ili kufidia hasara wanayopata. Vinginevyo utakuwa ushuzi tu, hakuna jipya. Hatuwezi kuruhusi wachezaji wafe njaa eti kwa sababu ya hii mikataba ya kipuuzi. Ni afadhali ligi ikose wadhamini kuliko kuruhusu huu upuuzi wa ajabu ajabu.Ronaldo alisign na Nike kama brand ambassador kabla adidas hajasign na Madrid. Barclays alikua ni mfadhili wa League,standard chartered ni mfadhili wa club mfano NBC anadhamini league yetu lakini sio vilabu vyetu so kila timu inaouwezo wa kutafuta mdhamini na ndio maana tuna akina sportpesa n.k.
Wachezaji wetu wanataka kuwa brand ambassadors wa crdb wakati tayari NBC ametoa dau la kudhamini ligi....yaani NBC amsaidie crdb kutangaza biashara? Not ease.
Ni kweli mkuu, udhamini wa ligi ungekuwa baina ya bodi ya ligi,tff na mdhamini. Ni muhimu kanuni zetu zikatoa nafasi hiyo japo najua ikija kampuni nyingne kwa lengo Hilo hamna shida. Tatizo ni crdb same business na kama ujuavyo nongwa za kibongo kwenye biashara mfananoBasi kama shida ni hii NBC wawe wanawalipa wachezaji wanaokosa pesa ili kufidia hasara wanayopata. Vinginevyo utakuwa ushuzi tu, hakuna jipya. Hatuwezi kuruhusi wachezaji wafe njaa eti kwa sababu ya hii mikataba ya kipuuzi. Ni afadhali ligi ikose wadhamini kuliko kuruhusu huu upuuzi wa ajabu ajabu.
Huwezi kuongelea mpira wa bongo bila kuitaja TFF yeye ndo mwenye mamlaka katka suala hilii....Hizo kanuni ziko chino ya bodi ya ligi sio TFF.
Wamezuia kutangaza biashara ya mshindani wa mdhamini mkuu tuKweli kabisa mkuu. Ndio maana nimesema katika sakata hili TFF na vilabu wamejipendelea wenyewe pasipo kuangalia maslahi ya mchezaji. Huko Ulaya wachezaji wanavuna pesa nyingi sana kutoka kwenye matangazo. Lakini huku Tanzania eti TFF wanazuia. Wanataka wachezaji wakaibe? Wapuuzi sana hawa jamaa. Hawafai kabisa.
Barclays haidhamini EPLKwa mujibu wa kanuni mpya za TFF, wachezaji binafsi hawapaswi kuwa na mdhamini ambaye ni mpinzani kibiashara wa mdhamini mkuu wa ligi kuu (NBC). Hili ni jambo la ajabu sana. Kwanini kanuni hii ya ajabu imepitishwa? Nionavyo mimi kanuni hii inalenga kuwarudisha nyuma wachezaji kiuchumi na kuwafanya waishi maisha ya njaa kama ilivyokuwa zamani.
Hii kanuni inawabana wachezaji tu, huku ikiwa haigusi timu shiriki. Kwa mfano Yanga na Simba wanadhaminiwa na benki ya NMB lakini hawajaguswa. Pia Simba wanadhaminiwa na kampuni ya m-bet na pia kuna baadhi ya timu zinadhaminiwa na sportpesa. Na hawa ni wapinzani wa kibiashara. Mbona wao hawawekewi mizengwe?
Pia huko Ulaya, kwa mfano, utakuta Real Madrid inadhaminiwa na Adidas lakini Ronaldo alikuwa anadhaminiwa na Nike na alikuwa akivaa njumu za Nike bila shida. Na pia benki ya Barclays wanadhamini ligi kuu ya Uingereza lakini wachezaji wa Liverpool wanavaa jezi zimeandikwa Standard Chartered bila tatizo.
Hawa ndio wanajua umuhimu wa udhamini kwenye ligi sio hawa TFF wanajifungia kwenye kiota kimoja na NBC na kusahau kuwa huko Ulaya wachezaji wanapiga mpunga wa kutosha kwa kudhaminiwa na wadhamini wengine mbali na mdhamini anayedhamini ligi zao.
Na kibaya zaidi, wachezaji wa ligi kuu hawaruhusiwi sio tu kuvaa jezi au njumu zenye nembo au jina la mpinzani wa NBC tu, bali hata kujihusisha kwenye matangazo (na haya hayana athari kiwanjani). Kwa mfano, mchezaji Clatus Chama anashiriki matangazo ya CRDB na kupiga mpunga mnene. Na pia mchezaji Mwamnyeto anashiriki matangazo ya NMB yanayompa mpunga mnene. Haya yote yatapaswa kukoma mara moja kwa mujibu wa kanuni mpya za TFF.
TFF kama wameshindwa kusimamia maslahi ya wachezaji ni bora TFF ibinafsishwe kwa mwekezaji kutoka nje atakayekuwa anajali maslahi ya wachezaji. Napendekeza wakati tunawauzia waarabu bandari, tuwauzie pia TFF waiendeshe.
Nawasilisha.
Kweli kabisa mkuu. Kuna namna wanavyoshirikiana kuiba fedha zinazotokana na mpira na kuziingiza kwenye chama kuisadia CCM kuiba kura na kulaghai wananchi kila kukicha.Kile ni kikundi cha wahuni waliojificha kwwnye mgongo wa chama twawala
Carlsberg walikuwa wadhaminiNaongelea zamani mkuu; sio sasa. Zamani wakati Barclays inadhamini ligi mbona hakukuwa na ujinga kama huu wanaofanya TFF?
Na sasa hivi hawaruhusu makampuni ya bettingNaongelea zamani mkuu; sio sasa. Zamani wakati Barclays inadhamini ligi mbona hakukuwa na ujinga kama huu wanaofanya TFF?