Amri hizi mwisho wake ni mbaya kuliko mtu wa kawaida anavyoweza kufikiri. Huu ni ulimwengu wa teknolojia ya hali ya juu lakini mtu fulani kwa sababu zake zisizo na mashiko ana amua umma uishi katika ujima (zama za mawe za kale) vile apendavyo bila kujali ni wangapi unaathiriwa na amri hizo.Kama mimi nilisajiri laini mbili moja ni kwajili ya simu ya mkononi ya nyumbani kwajili ya mawasiliano na familia tunapokuwa kazini. Sijui hizi amri zinakaaje kaaje.
Hiyo wala sio hoja!! Kama ametumia usajiri wa alama za vidole hofu inatoka wapi? Nani alikuambia kuwa TIN haifi endapo mlipa kodi akifa?!!! Kama TIN, haipo active tu, inakufa sembuse mlipa kodi akifa?!! Vitu vingine jamani kabla hujaandika fikiria kwanza, hapa ni jf, sio fbKuzuia Uhalifu kila Raia anatakiwa awe na namba 1 tu ya mtandao 1 milele hata akifa iendelee kuwepo kama TIN ilivyo au namba za magari
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kama mimi..Kama mimi nilisajili laini mbili moja ni kwajili ya simu ya mkononi ya nyumbani kwajili ya mawasiliano na familia tunapokuwa kazini. Sijui hizi amri zinakaaje kaaje.
Matojo Cosatta, Nchi haiongizwi kwa sheria tu, ndugu kuna mila, tamaduni na miiko hivyo kuna mengine uache ubishi tu ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeelezwa kwenye hiyo kanuni?Mbona walishalitolea ufafanuzi, kama ni mgeni ambaye, amekuja kwa muda na kupewa visa ya siku 90,ataweza kutumia passport yake kujisajiri, ili kupata line ya simu, ila kwa yule ambaye ana zaidi ya siku 90,labda yupo kimakazi, atatakiwa atumie passport na kibali cha kufanyia kazi kwenye usajiri
Mkuu, hata mie tangazo hili limenichanganya. Ilibidi niwapigie TTCL kupata ufafanuzi kwamba mie nina "lines" zao tatu, moja kwa 'smartphone', nyingine kwa 'wireless' na ya tatu ni 'data'.Kipengele cha tatu na cha nne naona kama vinakinzana, tushike lipi kati ya hayo mawili, au vifaa vya electronic na hizo Mashine haviwezi kutumia muda wa maongezi, data na sms Kwa pamoja?
There is no consistence
TIN haifi hata siku moja isipokuwa unaweza kwenda kuisimamisha...hata ukikaa miaka mingapi siku ya kwenda TRA itasoma palepale.Hiyo wala sio hoja!! Kama ametumia usajiri wa alama za vidole hofu inatoka wapi? Nani alikuambia kuwa TIN haifi endapo mlipa kodi akifa?!!! Kama TIN, haipo active tu, inakufa sembuse mlipa kodi akifa?!! Vitu vingine jamani kabla hujaandika fikiria kwanza, hapa ni jf, sio fb
So what is the point...Mbona walishalitolea ufafanuzi, kama ni mgeni ambaye, amekuja kwa muda na kupewa visa ya siku 90,ataweza kutumia passport yake kujisajiri, ili kupata line ya simu, ila kwa yule ambaye ana zaidi ya siku 90,labda yupo kimakazi, atatakiwa atumie passport na kibali cha kufanyia kazi kwenye usajiri
Mambo mengine ni utaratibu wa serikali, ulivyoweka, mfano mgeni, passport ndio id, inayoaminika sana, hadi kufika hapa, kwa sisi, inawezekana kuna vitambulisho vingi, tulishajisajiri kwa alama za vidole, mfano cha mpiga kura, lakini uratibu wake haukuwa mzuri sana, ndio maana wameona kitambulisho pekee ni cha NIDA,So what is the point...
Kama Vitambulisho vingine vina we za kuwa na umuhim kwa mgeni kwanini sisi iwe lazima NID?
DL,Passport, havina umuhim wowote sio....
Na hoja ni kwamba kama tunatumia Finger prints kuna haja gani ya kuforce ID moja pekee....
Ata ukitumia email kujisajili io email huwezpata bila phone number ndugu take care database zinalink wjatever ni gmail with jamii forum au so zitalink tu mpaka wakudake na km ulimuomba mjomba sim wataanza na uyo uyo mjomba wakoKwahiyo njia rahisi ya kuwakamata wakosoaji na watukanaji wa mtandaoni ni kusajili kwa alama za vidole kweli,ina maana kwenye social network watu wanasajisajili kwa namba za simu peke yake
Sasa ina maana hizo database za Facebook,twitter nk zitakuwa zinafikiwa na tcra ,kwa mtazamo wangu aliyeshauri kupambana na wakosoaji/watukanaji wa mtandaoni kwa kusajili line kwa alama za vidole hayuko vizuri kwenye mambo ya lT, labda kama anataka kuwakamata wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye hii namba hapo sawaAta ukitumia email kujisajili io email huwezpata bila phone number ndugu take care database zinalink wjatever ni gmail with jamii forum au so zitalink tu mpaka wakudake na km ulimuomba mjomba sim wataanza na uyo uyo mjomba wako
Je hii ni busara? Mfano: Nachukua router ya Voda, kwa ajili ya intaneti ya familia kwangu nyumbani. Router inahitaji simcard. Sasa siruhusiwi kuwa na simcard ya Voda kwa ajili ya simu yangu??(3) Ni marufuku kwa mtu (binadamu) kusajili Laini ya Simu zaidi ya moja (1) kwenye mtandao mmoja wa simu kwa ajiri ya matumizi ya kuwasiliana kwa njia ya ujumbe mfupi (message), kuongea na data. Kwa mfano, ni marufuku kuwa na laini mbili au zaidi za Vodacom, unapaswa kuwa na laini moja tu ya Vodacom.