Kanuni mpya za usajili wa laini za simu: Masuala muhimu ya kujua

Kanuni mpya za usajili wa laini za simu: Masuala muhimu ya kujua

Ata ukitumia email kujisajili io email huwezpata bila phone number ndugu take care database zinalink wjatever ni gmail with jamii forum au so zitalink tu mpaka wakudake na km ulimuomba mjomba sim wataanza na uyo uyo mjomba wako
Usikalili. Kwani ukitumia No za nje hauwezi kupata confirmation code?
wangapi wanatumi whatsapp au email kwakuiunganisha na no za nje ya nchi.

walioliwaza hili walitumia siasa zaidi kuliko taaluma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitandao ya simu ipo zaidi ya 4 iweje nipewe limit ya kuwa na line 4 haya ndo mambo yalionifanyaga nisiwe naweka fedha bank
 
Na simu mbili moja Nokia ya tochi nyingine tecno spark3 na mtandao unaoshika huku Ni voda tu, Sasa natupa line ipi? Nokia inakaa na chaji siku tano Ila jf sipati, Tecno full jf lakini ndo hivyo ikae kwenye chaji Kama deki ya dstv
 
Hizo lugha zenu za kisheria sijazielewa ngoja nihoji, Ina maana sisi tuliosajili kwa kitambulisho cha mpiga kura ama passport au leseni kabla ya tarehe 7 February, hiyo sheria ya kufungiwa laini Kama haujasajili kwa alama za vidole haituhusu?
Hata mimi nimeelewa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na simu mbili moja Nokia ya tochi nyingine tecno spark3 na mtandao unaoshika huku Ni voda tu, Sasa natupa line ipi? Nokia inakaa na chaji siku tano Ila jf sipati, Tecno full jf lakini ndo hivyo ikae kwenye chaji Kama deki ya dstv
unahitaji elimu kubwa juu ya suala hl
 
Mkuu, hata mie tangazo hili limenichanganya. Ilibidi niwapigie TTCL kupata ufafanuzi kwamba mie nina "lines" zao tatu, moja kwa 'smartphone', nyingine kwa 'wireless' na ya tatu ni 'data'.
Mdada akanithibitishia hiyo haina tatizo japo bado nina mashaka na hawa TCRA.

Hiyo iko sawa maana unaruhusiwa kumliki laini nne (4) za mtandao mmoja wa simu kwenye kifaa (device) cha masasiliano ya kielektroniki, hapo unaweza kuongeza laini nyingine mbili za TTCL kwa ajiri ya modem mbili. Laini kwa matumizi ya simu ya mkononi kwa ajiri ya mawasiliano ya ujumbe mfupi, kupiga simu na data unapashwa kuwa na laini moja tu.

Mtu anaweza kuwa na zaidi ya laini mbili au zaidi kwa matumizi ya simu ya mkononi kwa ajiri ya mawasiliano ya ujumbe mfupi, kupiga simu na data kwa kibari maalum na kwa kutoa sababu za kumiliki zaidi ya laini moja.
 
Aksante mkuu, maana mambo haya.......
 
Back
Top Bottom