Wale ni mawakala wao mkuu.Vile vyama 17 vya CCM vilisoma kanuni zote au walisewa kanuni mbili tu?
Walisoma na walizielewa wakajua hii itasaidia kukipa ushindi chake chao kikuu SSM.
Wale ni mawakala wao mkuu.Vile vyama 17 vya CCM vilisoma kanuni zote au walisewa kanuni mbili tu?
Hizi kanuni zilianza kutumika uchaguzi wa 2020, ni kanuni zilizofuata moja kwa moja utashi wa Magufuli. Yaani kwa maneno marahisi sheria hii ilitungwa moja kwa moja na Magufuli mwenyewe. ACT wanasema wanaenda mahakamani kupata tafsiri ya hizi sheria, sina hakika ni kufungu kwa kifungu, ama chama kusaini kanuni za uchaguzi.Hiki ni kitu gani ACT walichosaini kwa kujitamba hivyo?! Kwa kanuni hizi ule uchafuzi wa 2020 utakuwa na afadhali.
Leta kanuni zakona usirudie tena upotoshaji kama huo, alaaa!🐒
Pia ni matumizi mabaya ya fedha za ummaKwa maana hiyo kupiga kura ni matumizi mabaya ya muda
chaguzi huru, za haki na huru za Tanzania haziendeshwi na upotoshaji au uropokaji kama huo ulowasilisha hapo juu,Leta kanuni zako
Kwani Kuna shido?Wanajitengenezea mazingira ya kuiba kura
Wewe ni kiazi mkali na akili yako ni ndogo mnona usirudie tena upotoshaji kama huo, alaaa!🐒
Waliosaini uenda walitiwa ukungu machoni,wakashindwa kuona!!!Walioziandaa na Waliosaini hizi kanuni walikuwa na akili zao au walishikiwa. Chadema wako sahihi kabisa. No Reforms, No Election.
View attachment 3310384
,Wewe ni kiazi mkali na akili yako ni ndogo mno
Wap nimekasirika na nimekua na mihemko? Thibitisha hilo kwa hoja.relax gentleman
,
changia bila mihemko wala makasiriko,
.Huna point kaa tu kimya itapendeza zaidi 🐒
Tupe hizo kanuni za 2020 tusome wenyewe! Hizi zilizoambatanishwa ni za 2024 na 2025!Hizi kanuni zilianza kutumika uchaguzi wa 2020
Ni copy & paste za 2020.Tupe hizo kanuni za 2020 tusome wenyewe! Hizi zilizoambatanishwa ni za 2024 na 2025!
haya bas gentleman,Wap nimekasirika na nimekua na mihemko? Thibitisha hilo kwa hoja.
WATUMISHI WENGI WAMESEMA HUYU NI SHETANISaa100 ni sawa na shetani asiye na mkia
Hii paste ya ajabu inayoconvert copy 2020 kuwa 2024 na 2025Ni copy & paste za 2020.
Hv umeelewa kilichoandikwa hapo?Gentleman,
huu ni upotoshaji na hakujawahi kua na script ya uchochezi kama hiyo kwenye chaguzi za Tanzania.
Matokeo hutangazwa kwenye vituo vya kupigia kura na kubandikwa kwenye mbao za matangazo na kila mTanzania anajua na kufahamu hivyo na sio upotoshaji huo 🐒
Nyie madogo hamna kitu mnaweza niambia kama hakuna haki.haya bas gentleman,
nimeishia hapo,
twende haste haste, mosi mosi pamoja kwa amani na upendo right?🐒
kwani huna haki gentleman?🐒Nyie madogo hamna kitu mnaweza niambia kama hakuna haki.
Hayo maneno mkawambie wajinga wajinga wasio jielewa humo majimboni kwenu na sio mimi aseekwani huna haki gentleman?🐒