PreGE2025 Kanuni za Uchaguzi Mkuu; Wabunge, Madiwani, na Mawakala hawatapewa nakala za Matokeo wala hayatabandikwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Relax gentleman,
ukweli ndivyo ulivyo, itakubidi uzoee tu maana hakuna namna nyingine sasa šŸ’
Ukweli upi? Nizoeee kivip? Jibu kwa hoja a cha kujibu kama Jamii ya wafugaji.
 
Hizi kanuni zilianza kutumika uchaguzi wa 2020, ni kanuni zilizofuata moja kwa moja utashi wa Magufuli. Yaani kwa maneno marahisi sheria hii ilitungwa moja kwa moja na Magufuli mwenyewe. ACT wanasema wanaenda mahakamani kupata tafsiri ya hizi sheria, sina hakika ni kufungu kwa kifungu, ama chama kusaini kanuni za uchaguzi.
Ni copy & paste za 2020.
Hii paste ya ajabu inayoconvert copy 2020 kuwa 2024 na 2025
2020 matokeo yalibandikwa
 
Gentleman,
huu ni upotoshaji na hakujawahi kua na script ya uchochezi kama hiyo kwenye chaguzi za Tanzania.
Matokeo hutangazwa kwenye vituo vya kupigia kura na kubandikwa kwenye mbao za matangazo na kila mTanzania anajua na kufahamu hivyo na sio upotoshaji huo šŸ’
Kichwa box huyu umezisoma hizo kanuni sasa au we ni kupinga Kila kitu mzazi wako ana hasara
 
nenda mkaungane na mpotoshaji mwenzako mkaandike upya script ya huo upotoshaji,

sawa gentleman,
wacha kumbwelambwela hapa šŸ’
 
chaguzi huru, za haki na huru za Tanzania haziendeshwi na upotoshaji au uropokaji kama huo ulowasilisha hapo juu,

Zinaendeshwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya na si vinginevyo šŸ’
Lete kanuni zako imekazana upotoshaji Lete zako tujue nani muongo unaficha kichwa huku makalio yapo nje
 
Attachments

  • FB_IMG_1743955210578.jpg
    FB_IMG_1743955210578.jpg
    32.6 KB · Views: 23
  • VID-20250420-WA0003.mp4
    6 MB
Lete kanuni zako imekazana upotoshaji Lete zako tujue nani muongo unaficha kichwa huku makalio yapo nje
hushiriki Uchaguzi mkuu kanuni za nini gentleman na umekalia kupotosha tu

tuliza kipago gentleman šŸ’
 
nenda mkaungane na mpotoshaji mwenzako mkaandike upya script ya huo upotoshaji,

sawa gentleman,
wacha kumbwelambwela hapa šŸ’
Wewe ndio unae mbwela mbwela Lete kanuni zangu unazungusha TU jicho kama panya alie nasa kwenye mtego
 
kanuni ni katiba gentleman,
hebu relax.

vyama vyote vya siasa vyenye akili timamu ndio pekee wenye kanuni hizo, hizo za kwako mkatumie kwenye Uchaguzi wa waropokaji gentleman šŸ’
 
Acha porojo kijana unakuwa kama jidada dangaji kudandia vitu hivyo!. Leta amabazo hazijapotoshwa hapa.
Gentleman,
huu ni upotoshaji na hakujawahi kua na script ya uchochezi kama hiyo kwenye chaguzi za Tanzania.
Matokeo hutangazwa kwenye vituo vya kupigia kura na kubandikwa kwenye mbao za matangazo na kila mTanzania anajua na kufahamu hivyo na sio upotoshaji huo šŸ’
 
Acha porojo kijana unakuwa kama jidada dangaji kudandia vitu hivyo!. Leta amabazo hazijapotoshwa hapa.
relax bas mtaalamu wa kudanga ingawa hata sijui ndio nini,

na mbona hata huna point mdangaji šŸ’
 
Hizi kanuni zilianza kutumika uchaguzi wa 2020, ni kanuni zilizofuata moja kwa moja utashi wa Magufuli. Yaani kwa maneno marahisi sheria hii ilitungwa moja kwa moja na Magufuli mwenyewe. ACT wanasema wanaenda mahakamani kupata tafsiri ya hizi sheria, sina hakika ni kufungu kwa kifungu, ama chama kusaini kanuni za uchaguzi.
Wewe utakufa kihoro, Kila baya unamtwisha Magufuli hadi umekuwa km chizi hivi.
 
Back
Top Bottom