PreGE2025 Kanuni za Uchaguzi Mkuu; Wabunge, Madiwani, na Mawakala hawatapewa nakala za Matokeo wala hayatabandikwa

PreGE2025 Kanuni za Uchaguzi Mkuu; Wabunge, Madiwani, na Mawakala hawatapewa nakala za Matokeo wala hayatabandikwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hizi kanuni zilianza kutumika uchaguzi wa 2020, ni kanuni zilizofuata moja kwa moja utashi wa Magufuli. Yaani kwa maneno marahisi sheria hii ilitungwa moja kwa moja na Magufuli mwenyewe. ACT wanasema wanaenda mahakamani kupata tafsiri ya hizi sheria, sina hakika ni kufungu kwa kifungu, ama chama kusaini kanuni za uchaguzi.
EEeeenHEEEeeee!
Wanakwenda mahakamani baada ya kusaini?
Sasa walisaini kitu ambacho hawakukifahamu?
 
Gentleman,
huu ni upotoshaji na hakujawahi kua na script ya uchochezi kama hiyo kwenye chaguzi za Tanzania.
Matokeo hutangazwa kwenye vituo vya kupigia kura na kubandikwa kwenye mbao za matangazo na kila mTanzania anajua na kufahamu hivyo na sio upotoshaji huo 🐒
Kazi inaelekea kukushinda.
Wewe kwa akili zako timamu huoni umhimu wa tume huru ya uchaguzi?.
 
Walioziandaa na Waliosaini hizi kanuni walikuwa na akili timamu kweli. Eti Leo ACT nao wanalipongeza Kanisa Katoliki kama sio unafiki ni nini.

Chadema wako sahihi kabisa. No Reforms, No Election.

View attachment 3310384
Kuna mdau humu humu JF kasema walio saini wana akili timamu, mimi kinacho nishangaza vyama vya siasa kuvisainisha kanuni za maadili wakati wagombea hawajateuliwa, (without nominees) vile Vile ni sawa na kununua nguo za mtoto atakaye zaliwa wakati ukijua huna mke wala mme
 
JPM anakuwa nafuu kuliko saa100.
Saa100 alikotupeleka na atakako tuacha mungu ndiye anayejua!!
Ila siku JK akifa nitafanya sherehe!
 
Aisee, hivi kweli wewe ni mbovu kiasi hiki, au ni kujiondoa akili tu kwa muda!
Ni vigumu sana kuamini kuwa upo hivi hivi katika maisha yako ya kawaida.
Ninyi mnadai No Reform, No Election. Hamjasaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu kwasababu HAMTASHIRIKI. Unataka tujadili nini kuhusu Uchaguzi Mkuu? Au kwasababu ni wahuni mnataka mshiriki kama wahuni sio?
 
Kwahiyo hata mkisaini kunyongwa watu wasihoji kwa vile haiwahusu.
Kama imepitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikasainiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kutangazwa kwenye Government Gazette WATANYONGWA TU!
 
Gentleman,
huu ni upotoshaji na hakujawahi kua na script ya uchochezi kama hiyo kwenye chaguzi za Tanzania.
Matokeo hutangazwa kwenye vituo vya kupigia kura na kubandikwa kwenye mbao za matangazo na kila mTanzania anajua na kufahamu hivyo na sio upotoshaji huo 🐒
Acha uzwazwa! Tuletee nakala halisi ya hiyo Kanuni ya 52 ya Uchaguzi
 
Acha uzwazwa! Tuletee nakala halisi ya hiyo Kanuni ya 52 ya Uchaguzi
hushiriki uchaguz nakala ya nini gentleman?

katengenezeni script nyingine ya uongo hiyo mmefail gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom