PreGE2025 Kanuni za Uchaguzi Mkuu; Wabunge, Madiwani, na Mawakala hawatapewa nakala za Matokeo wala hayatabandikwa

PreGE2025 Kanuni za Uchaguzi Mkuu; Wabunge, Madiwani, na Mawakala hawatapewa nakala za Matokeo wala hayatabandikwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Pikipiki za mama je?
Tupewe walevi wa mama
Go1AooyWkAAXLJB.jpeg
 
Ninyi mnadai No Reform, No Election. Hamjasaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu kwasababu HAMTASHIRIKI. Unataka tujadili nini kuhusu Uchaguzi Mkuu? Au kwasababu ni wahuni mnataka mshiriki kama wahuni sio?
Uchaguzi mkuu upi?
Hujui maana ya "No Reform, No Election"?
Ndiyo maana nakwambia kichwani hazikutoshi kabisa. Hivi bado unafikiri kuna utani hapa?
 
Back
Top Bottom