PreGE2025 Kanuni za Uchaguzi Mkuu; Wabunge, Madiwani, na Mawakala hawatapewa nakala za Matokeo wala hayatabandikwa

PreGE2025 Kanuni za Uchaguzi Mkuu; Wabunge, Madiwani, na Mawakala hawatapewa nakala za Matokeo wala hayatabandikwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
chaguzi huru, za haki na huru za Tanzania haziendeshwi na upotoshaji au uropokaji kama huo ulowasilisha hapo juu,

Zinaendeshwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya na si vinginevyo 🐒
Leo ndio unajua kuna katiba na sheria.
 
Gentleman,
huu ni upotoshaji na hakujawahi kua na script ya uchochezi kama hiyo kwenye chaguzi za Tanzania.
Matokeo hutangazwa kwenye vituo vya kupigia kura na kubandikwa kwenye mbao za matangazo na kila mTanzania anajua na kufahamu hivyo na sio upotoshaji huo 🐒
2020 hilo halikuwepo
 
2020 hilo halikuwepo
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa kihistoria, huru, wa wazi na wa haki zaidi kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru unakwenda kufanyika October mwaka huu 2025.

uskikose,
epuka upotoshaji 🐒
 
Walichokifanya hao waliosaini hizo Kanuni hakina tofauti na akina Chifu Mangungo wa Msovero wakati wanaingia mikataba na akina Carl Peters 😜

Lengo la kuweka hizo Kanuni wanataka matokeo yasihojiwe mahakamani, maana ushahidi hautapatikana wa matokeo
Yaan unaibiwa hivi hivi unaona unaibiwa
 

Wanaanzaje kutangaza au kubandika matokeo bandia ambayo hayatokani na kura zilizopigwa?

Watu wanamaliza vichakani huko hadi wanaua watu.

Ni mtu mjinga tu ndio atapoteza muda kwenda kupiga kura .

Yaani unakuta kituo kina wapiga kura 3000 ila unakuta matokeo mshindi ana kura 5000.
 
CCM isiposoma alama za uchaguzi,Kuna siku ,Rais atatambulika kimataifa
 
Back
Top Bottom