Kanye West kumlipa Kim Kardashian Tsh. Milioni 466.6 kila mwezi kwa matunzo ya watoto

Sehemu kubwa ya utajiri wao huwa unakuwa wa "kwenye karatasi". Mfano Ye utajiri wake sehemu kubwa ilikuwa ni hisa zake kwenye brand ya Yeezy na collaborations nyingine za fashion kama GAP, Balenciaga na kadhalika. Baada ya kampuni hizo kumtema ina maana hana tena hisa ndio maana "utajiri" umeporomoka.
Utajiri wa hisa wa ajabu sana. Naona ni kama aina fulani ya kamari hivi. Kampuni hisa zikishuka thamani na utajiri unapotea, aisee!
 
Wamekosa nini kwani? Na mbona hapo kwenye ki english wameandika watagawana sawa sawa matumizi ya watoto
Kuna mijitu inafata mkumbo sana, eti "ile familia ina laana" lol, watu wenye utajiri wa Pesa na utajiri wa Watoto unawaita wana laana!!

Ni kweli watagawana nusu kwa nusu kwenye matunzo ya Watoto pia wengi hawajui watoto wa Ma Star wanavyoishi hizo gharama za kuwalipa wafanyakazi, ulinzi, n.k sio za kitoto,

Btw, Kim alijaribu sana kuisave hiyo Ndoa isivunjike lakini Ye U Bipolar umezidi kuwaka acha kila Mtu atafute amani zake.
 
Kim aliipambania ndoa kama wanawake wa kibongo tunavyohusiwa uvumilivu....mwisho wa siku naona alichoka akabwaga manyanga.
 
Watu wanachukulia rahisi sana kuishi na mgonjwa wa akili, kajitahidi for six years, hata shauri la Talaka lilipotoka Kim alilia sana hakuna Mtu anapenda watengane na mwenzie tena waliozaa watoto wanne.... Bipolar ya Kanye ishakua sugu.
 
Back
Top Bottom