Kanye West na mkewe kwenye red carpet za Grammy

Kanye West na mkewe kwenye red carpet za Grammy

Huyu Bianca ukute ni yale madoli ya Tajiri namba moja Duniani,Kanye amejinunulia Doli lake.Mana kwa binadamu wakawaida sina hakika na vituko vya huyo dada.
Huu kweli ni mdoli,afu kumbe alikuwa uchi kabisa,naona google wanazificha hz picha
images-5.jpeg
 
Ye Kanye katoka vizuri kabisa ndani ya t-shirt na jeans bianca Sasa!
 
Back
Top Bottom