Kanye West na mkewe kwenye red carpet za Grammy

Kanye West na mkewe kwenye red carpet za Grammy

Amaa kweli amepata wakufanana nae yani hapo ni wehu wawili wenye pesa na umaarufu wamekutana 😆😆
 
Screenshot_2025-02-03-13-23-26-10_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Ndio mana mji wote Los Angelos umeunguzwa moto sababu ya upuuzi wao. Na wasipoangalia America yote itateketea
 
Ivi hii si unakuta ni nguo ina rangi ya mwili au naoma Kwa bibi kweli?
 
Back
Top Bottom