Kanye West na mkewe kwenye red carpet za Grammy

Amaa kweli amepata wakufanana nae yani hapo ni wehu wawili wenye pesa na umaarufu wamekutana πŸ˜†πŸ˜†
 
Ndio mana mji wote Los Angelos umeunguzwa moto sababu ya upuuzi wao. Na wasipoangalia America yote itateketea
 
n AKnye nae si angevua tu nguo zote kama kweli ???
 
Ivi hii si unakuta ni nguo ina rangi ya mwili au naoma Kwa bibi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…