Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Huyu hakupata kalimati 'laailaha'au utahamia motoni ili kumkwepa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hakupata kalimati 'laailaha'au utahamia motoni ili kumkwepa!
Motoni, hata hesabu hanaSijui nimwelekeze wapi katika kumtakia pumziko!
Kanisa hapana. Huyo ni wa kwenda kumtupa baharini tuSwali langu kanisa gani litamzika?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapanaKanisa hapana. Huyo ni wa kwenda kumtupa baharini tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Funguka mkuu kwani itakuwaje
KabisaaI love you.
Comment nzuri sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee nimecheka sana ukizigatia na mimi ni msukuma!! Lakini hii chuki kwetu inasababishwa na nini?Wasukuma watamkana ndugu yao walivyo wajinga!
Huko aendako huna mamlaka nako na huna sababu yo yote ya kuwa na wasiwasi nako. Hiyo ni kazi ya Mungu ndugu yangu na utashangaa Marehemu pengine alishajiweka sawa na Mungu wake kabla ya pumzi yake ya mwisho na siku ya siku unamkuta yuko peponi na wewe unayejifanya hapa uko kwa akina Yuda Iskariote wakichochea moto sabini mara sabini. Kamwe tusihukumuKweli dunia mapito sema wasiwasi wangu ni huko aendako
Ndo uzuri wa wasukuma
Wakifika mjini wapo tayar kufanya biashara yoyote ile.alimradi wawe na vitambi.hakuna kabila linapenda vitambi kama jamii hii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee nimecheka sana ukizigatia na mimi ni msukuma!! Lakini hii chuki kwetu inasababishwa na nini?
Kkkkkkkkk usiwe na hofu wasukuma ni kama Real Madrid au Barcelona (means Chama kubwa)mie nikionaga uzi wa wasukuma huwa nawaza meng sana ya wajomba zangu nikiconnect dots nachekaga sana jaman
Cd4 zikiisha inabaki cd1 na CD0,hpo ndio kaoge atakate akaacha kuoga mileleMkuu hayo unasema wewe [emoji4][emoji4]
Haha Ngosha Huyo anachukiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee nimecheka sana ukizigatia na mimi ni msukuma!! Lakini hii chuki kwetu inasababishwa na nini?
Kkkkkkkkk usiwe na hofu wasukuma ni kama Real Madrid au Barcelona (means Chama kubwa)
Tuko wengi na sasa badala ya ku deal na mifugo wengi wetu tumeamua kuwekeza kwenye biashara japo bado wengine wanaamini wingi wa ng'ombe ndiyo utajiri so wanaishi kwa kuhama hama hadi South Africa kwa Madiba wapoooooohahaa ni kweli jaman tena sasa hv jaman sijui wametokea wapi !yaan kila mkoa ni kama wamemwagwa vile !hahaa dah km una stress kaa nao utacheka mno mno
Tuko wengi na sasa badala ya ku deal na mifugo wengi wetu tumeamua kuwekeza kwenye biashara japo bado wengine wanaamini wingi wa ng'ombe ndiyo utajiri so wanaishi kwa kuhama hama hadi South Africa kwa Madiba wapoooooo
Msongo wa mawazo baada ya kugundua alipotoka but it was too late!CD 4zilishuka na msongo wa mawazo