Kaolewa, kapasha kiporo kwa Baba mtoto, kaachwa!

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Screenshot_20240409-193356.jpg

Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae), demu kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
 
Hahahah dah, Kuna mwingine huku kapata mchumba yupo mwanza mwanamke wa kigoma, ndoa inafungwa mwezi wa 5 lakini demu anakomaa kugawa uroda Kwa ex zake kwa nguvu zoote kabla ya kuingia ndoani, jamaa yeye Yuko mwanza anaamini demu anajipnga kwa ajili ya sendoff.
 
Hiyo ndo dawa yao
Bhna

Daah jamani wanawake hawa
 
View attachment 2958906

Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae),dem kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
Mwanamke MPUMBAVU huvunja nyumba (ndoa) yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Hahahah dah, Kuna mwingine huku kapata mchumba yupo mwanza mwanamke wa kigoma, ndoa inafungwa mwezi wa 5 lakini demu anakomaa kugawa uroda Kwa ex zake kwa nguvu zoote kabla ya kuingia ndoani, jamaa yeye Yuko mwanza anaamini demu anajipnga kwa ajili ya sendoff.
Mkuu
Okoa maisha ya mwanaume mwenzetu. hapo hakuna ndoa maana huyo mwanamke ataendelea na umalaya kwenye ndoa.

Toa taarifa yenye ushahidi kwa mwamba ili aweze kuishi maisha marefu
 
Ila ukweli usemwe hivi unaoje mtu kaachwa !? Mimi tangy nishike pesa hata vitu vya mtumba sinunui ,ndio kuoa mke mweny mtoto .
wapo wadada walipata mimba kwa siku moja. wakatelekezwa. wapo wadada wametoa mimba mpaka kizazi kikasema poo!

mke aliyezaa ana akili kuliko aliyetoa mimba!

Yesu ni Bwana na Mwokozi

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2958906

Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae),dem kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
Legend amechukua maamuzi sahihi, although alipoteana kuingia kwneye hiyo ndoa at the first place
 
Hahahah dah, Kuna mwingine huku kapata mchumba yupo mwanza mwanamke wa kigoma, ndoa inafungwa mwezi wa 5 lakini demu anakomaa kugawa uroda Kwa ex zake kwa nguvu zoote kabla ya kuingia ndoani, jamaa yeye Yuko mwanza anaamini demu anajipnga kwa ajili ya sendoff.
😂 ila wanawake wa hivyo ni jasiri sana. Nilishaitiwa bye bye wifi mtu akaharibu mchongo.
 
Back
Top Bottom