Kaolewa, kapasha kiporo kwa Baba mtoto, kaachwa!

Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae), demu kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
Ila gharama zimeenda 😂😂
 
Jamaa kutuwakilisha

jamaa kattuwakilisha vizuri kwa tusiopenda ujinga , big up kwake ✊🏼
 
Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae), demu kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
Mwanamke hawezi kuacha kuliwa na mwanaume aliyezaa nae hasa kama ndio wa kwanza
 
Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae), demu kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
Singo maza again 🤣🤣🤣🤣 tuwakumbushe mara ngapi? 😆
 
Hahahah dah, Kuna mwingine huku kapata mchumba yupo mwanza mwanamke wa kigoma, ndoa inafungwa mwezi wa 5 lakini demu anakomaa kugawa uroda Kwa ex zake kwa nguvu zoote kabla ya kuingia ndoani, jamaa yeye Yuko mwanza anaamini demu anajipnga kwa ajili ya sendoff.
Mkuu mbona kama unaunguza picha? Jamaa akiingia huku JF ndoa itaota mbawa.
 
Back
Top Bottom